Echolima
JF-Expert Member
- Oct 28, 2007
- 3,824
- 2,079
Gwajima alikuwa na haki ya kumburuza Daud Bashite mahakamani kwa kumdharirisha lakini hakufanya hivyo sababu alishamsamehe, na kwa sababu Daud alimpakazia kwenye jamii inabidi naye Gwajima awaelezee jamii na familia hiyo kwa nini Daud alimpakazia hivyo na kuna ukweli kuwa sababu ya Elimu na uelewa wa Daud ndiyo uliomfanya apakazie watu ili aonekane kwenye jamii yeye ndiye anawapenda na kuwajali vijana wa Tanzania kumbe ilikuwa kick tu ili ajizolee umaarufu wa bwerere.
Mkuu Gwajima alisema wenye Mungu husamehe na aksema amesamehe
Sasa amegeuza kanisa lake uwanja wa kulipiza kisasi
Je yeye ni Mjinga kwa mujibu wa kauli yake?