Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

Gwajima alikuwa na haki ya kumburuza Daud Bashite mahakamani kwa kumdharirisha lakini hakufanya hivyo sababu alishamsamehe, na kwa sababu Daud alimpakazia kwenye jamii inabidi naye Gwajima awaelezee jamii na familia hiyo kwa nini Daud alimpakazia hivyo na kuna ukweli kuwa sababu ya Elimu na uelewa wa Daud ndiyo uliomfanya apakazie watu ili aonekane kwenye jamii yeye ndiye anawapenda na kuwajali vijana wa Tanzania kumbe ilikuwa kick tu ili ajizolee umaarufu wa bwerere.
Mkuu Gwajima alisema wenye Mungu husamehe na aksema amesamehe
Sasa amegeuza kanisa lake uwanja wa kulipiza kisasi
Je yeye ni Mjinga kwa mujibu wa kauli yake?
 
Katika Hali ya kibinadamu makonda kamkosea sana Gwajima kumtuhumu mchungaji kwenye issue ya madawa alafu mwisho unamkuta hatumii sasa huyu utamsafisha vipi ila kiroho utasemehe ila tukumbuke yeye alikua anajisikia Kama makonda anavyo jisikia yeye sasa
 
Bro mshahara wa dhambi ni mauti.Muumba mwenyewe katoa angalizo kwamba ufanyapo dhambi tubu vinginevyo utakumbana na moto.Pia alitupatia utashi wa kujua mema na mabaya hivyo unapofanya dhambi unakuwa unatambua hivyo ni bora kutubu.zSasa basi mbona hatujaona sehemu yo yote kutubu kwa Rc kumtuhumu uongo mtumishi wa Mungu ili Mungu atoe msamaha?
Acheni dhana ya kusamehe kwa Gwajima wakati Rc hajaomba msamaha wa Mungu na kila mara anatembelea majengo ya kuabudia.
Kumbukeni Hakuna Mungu wa Makonda na Mungu mwingine wa Gwajima.

Naomba usome nukuu ya Gwajima

Sijasema mimi Gwajima asamehe, amesema mwenyewe kwa mdomo wake na wala hakuweka condition ya kuombwa msamaha

Gwajima ni mtumishi wa Mungu usimfanishe na wajinga wajinga kama akina Makonda

Yesu alipodhihakiwa aliishia kusema Baba wasamehe maana hawajui watendalo
 
Kudhihurisha kuwa yeye ni mtumishi wa Mungu atoe msamaha 7×70
Kuna makosa yanayosameheka na mengine hayasameheki ndio maana kuna mahali panaitwa JEHANAMU, kwa ajili ya wale walioonesha jeuri, hii ni moja lakini pili ili usamehewe ni sharti utubu na kuungama.
 
Hata mimi naweza kuwa Askofu kwani Gwajima uaskofu alipewa na nani?
Uaskofu sio kazi ya kifahari, wala usiitamani, ule ni mzigo zito, ni kazi ya kuwatumikia watu, wewe unakuwa mtumwa (lakini, Alhamdulillah unakuwa mtumwa wa YHWH)
 
Kuna makosa yanayosameheka na mengine hayasameheki ndio maana kuna mahali panaitwa JEHANAMU, kwa ajili ya wale walioonesha jeuri, hii ni moja lakini pili ili usamehewe ni sharti utubu na kuungama.

Usichanganye wajibu wa Mungu na binaadamu
 
Ukiisikiliza clip ya video inaomuonyesha Gwajima akiamuru majini yakamuingie Bashite ndio utajua huyu mtumishi ni fake na wala hamaanishi anachoongea
 
alipoiweka hiyo post kwenye Instagram yake nilijua Gwajima amesamehe lakini nahisi kama vile alitafakari akaona inabi alipe kisasi ndo akaja na hiyo ya vyeti ambayo ikabadili kabisa status ya Makonda.
 
Ukiisikiliza clip ya video inaomuonyesha Gwajima akiamuru majini yakamuingie Bashite ndio utajua huyu mtumishi ni fake na wala hamaanishi anachoongea
Kamuulize makonda je gwajima anatania au anafanya kweli?
Utapata majibu sahihi kulia lia hadharani na yale matamko yote kwishaaaaaa! Gwajima go go go!
 
Kamuulize makonda je gwajima anatania au anafanya kweli?
Utapata majibu sahihi kulia lia hadharani na yale matamko yote kwishaaaaaa! Gwajima go go go!

Kumbe hakusamehe bali anavisasi?
 
Hoja yangu ni nikuu ya Gwajima mara tu baada ya kutoka sentro

Vyeti tupo watu wengi sana tutahoji maana haya ni ya kaisari mkuu
Gwajima hakusema anamuachia Mungu hiyo sentesi katika kamusi ya Gwajima haipo
 
Daudi si uoneshe vyeti watu tufanye na mengine kwa ajili ya maendeleo
 
Kumbe hakusamehe bali anavisasi?
Kama mlitegemea msamaha basi mmeingia choo kilichojaa manyigu poleni, gwajima piga kazi oparesheni kushikisha adabu lazima iendelee tu hamna namna
 
Back
Top Bottom