amoneyazan
JF-Expert Member
- Jan 10, 2013
- 698
- 469
Umenea vyema mkuu...Kwa uongozi wa nyakati hizi, Kama hiki kitu alichosema Gwajima ni uongo, tarajia kusikia kesi ya kumdhalilisha mkuu au kuwekwa ndani saa 48 usiposikia hivyo jua kua kilichosemwa ni legit.
Naona unahangaika na Ukuu wa Wilaya ya UYUI Mkuu.unajishushia heshima wewe sio wa kuhangaika na viuandishi uchwaraHajasema ana matokeo, amesema ana vyeti mezani kwake, hivi kweli kuna cheti cha divisheni 0 ya miaka hiyo?.
Paskali
Wote ni viumbe wa Mungu, sioni tatizo.Mayalla, rais gani unaweza kumfananisha na mfalme suleman,rais gani unamfananisha na daud,petro,yohana,abel? Aliposema ni demotion hakukosea angalia petro alikuwa nani,daud alikuwa nani. Kutumia neno kiumbe hakukosea au sababu ni jamaa yako. Wanadamu wote ni viumbe. Mbona mnapenda kujitukuza sana?
Kwahiyo sio kiumbeHaiwezekani amuite Mkuu wa Mkoa kiumbe...ni kosa kubwa sana
Nakuunga mkonoMtumishi wa Mungu wa ukweli ni zaidi ya RAIS kwa maoni yangu Mimi . Kwa hapa duniani unaweza kusema RAIS Lkn kwa Sisi tunaoamini kuna maisha baada ya kufa basi kuwa karibu Na Mungu ( kufanya kazi ya kuwaongoza watu kumjua Mungu Na kumuabudu) ni bora kuliko utajiri au madaraka yoyote ya hapa duniani.
Kumwita binadamu kiumbe sijaona kosa lake Kwani Sisi sote ni viumbe wake Mungu.
Na mchungaji hajadanganya mpaka mtuhumiwa alete (makonda) alete ushahidi kuwa Si kweli alipata zero (sio kosa kupata zero Kama ilivyokuwa sio kosa kuwa mfupi) kosa ni kutumia vyeti vya mtu mwengine.
Cha kushangaza kweli mtu apate division 1 akasome Certificate ya uvuvi kama Si uoga wa kwenda kidato cha tano ? Aliona atagundulika kirahisi Na watu wanaojua alizungusha Kwahiyo akienda kufanya certificate hawatahoji sana Labda watasema Alirudia mtihani.
Nahisi Daud Bashite kasha yafumua marinda yako maana sio kwa kumteteahvyoHajasema ana matokeo, amesema ana vyeti mezani kwake, hivi kweli kuna cheti cha divisheni 0 ya miaka hiyo?.
Paskali
Ata leaving certificate ni cheti pia .... jiongezeHajasema ana matokeo, amesema ana vyeti mezani kwake, hivi kweli kuna cheti cha divisheni 0 ya miaka hiyo?.
Paskali
Tulieni anyoooshwe, Gwajima kasema, ukinijia kwa mbwembwe unazo zijua ww,mimi nikikupiga unapotea mazima. Mr David ndo kiama chake.Haiwezekani amuite Mkuu wa Mkoa kiumbe...ni kosa kubwa sana