Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

Sina hakika kama unajua maana ya sadaka
 
Hata kukemea waovu katika jamii kama Bashite ni neno la Mungu pia!

Halafu ww wala sio muumini ni maamuma wa Bashite tuu!
 
Baba Askofu Gwajima usisahau kuvunja miamba jumapili ya wiki hii kama kawaida.Mungu yuko upande wako ndiyo maana amemuumbua shetani aliyekuwa akikuvizia.
 
Toka BASHITE awajengee makao makuu, BAKWATA mnamuabudu kama vile ni Mungu.
 
mkuu hamia kwa mzee wa upako (aka mzee wa kilevi). Gwajima ni habari nyingine kabisa, mkuu.

kuna sukuma's 3 zinasumbua mtaani kwa sasa. wewe kama ni mndengereko kama mimi, tusubiri zamu yetu mkuu!
 
Naomba untumie namba ya voda ya huyu mtumishi wa Bwana iliniweze kumtumia sadaka kwa M-pesa, plz!
 
Elfu kumi sasa ni ndogo?
 
Gwajima alitudanga kuwa kuanzia jumatatu ya jana angetoa dozi mfululizo, Nashangaa hatoi tena.

Namshauri rais wiki hii awaache watoe madogo yao, wiki ijao amsifie tena Makonda, tuone watakuja na lipi jipya.
 
JPM alisema jana jus watu wengi wanapenda umbea kuliko mambo ya maendeleo.Mshukuru Mungu kwa kujitambua.
 
Mi huwaga nashangaa watu wanaolalamika kuhusu sadaka. Kwani kuna mtu anakulamizisha kusimama kwenye kiti ulichokalia na kwenda mbele kutoa sadaka, kwani ukibaki kwenye kiti chako kuna mtu atakuuliza kwa nini huendi kutoa sadaka. Waacheni wanaotoa kwa moyo wakatoe. Kama vipi anzisha kanisa lako, na wasiwasi hata kanisani kwa Gwajima hujawahi kwenda.
 
Umetumwa wewe mmbea....? Jumapili iliypita alivyomaliza kumkemea bashite...sa saba kasoro ikaanza ibada ya neno kuwalisha kondoo wake chakula cha roho.
Umetumwa na lejingaz....le tumboz...kilazazzz!!!
 
Kumskiliza PhD anaesifu SHILAWADU huku akibugia kodi zetu umeona sawa sawa ila kumskiliza Mtumishi unaita Majungu. Bashite mkubwa wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…