Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

Wewe ndio fala na bwege link Gwajima alimuanza MTU,kama sio wanamuanza wao,wakitumwa na Bashite
 
Kanisa gani hawatumii biblia ni utafikiri ni mkutano wa kampeni za kuzodoa watu na kusoma magazeti ya udaku kanisani akijifanya ana data? fikiria baada ya mbunge mmoja kutembelea kanisa lake , kuanzia hapo ndio akaanza kuyasoma magazeti ya huyo mbunge kanisani mwanzo mwisho....najiuliza waumini huenda kupokea mipasho na baadaye kutoa sadaka na kurudi nyumbani? ......" HAJAWAHI KUFUFUA HATA PANYA" by wakili msomi metusela gwajima.
 
Mtoa posti kama hajatoka WCB basi atakuwa katoka koromije..ukiongelea upigaji wa sadaka hatobaki mtu kuanzia wachungaji mpaka mashehe.
 
Mleta uzi una wazimu weye! Let Gwajima be Gwajima the Man, ukitia mkono anausagasaga, mwachie aliyempa wito wa kitume amuhukumu, sio wewe swekeni wahead, muache Gwajima abebe msalaba wake mwenyewe, kama ni dhambi zake hazitokuhusu hata kiduchu, tunajua unajaribu kumtetea Bashite, wala hutaweza, bashite la koromije nafsi italisuta mpaka linaaga dunia hii! Bs
 
Umesema etii..., maana nasikia kelele labda itakuwa network.
 
Makanisa mengine ni biashara na lake lipo hivyo.

Natumaini waumini haswa wapya mtakumbuka kutoa sadaka kesho jamani, Mola alisema mtoe ile 10% na zile sadaka zingine juu mnazoombwa na waongoza kanisa.

Mnao angalia live streaming, msisahau kurusha pesa pia.
 
Wabongo ninavyo wajua mimi watarusha msambwanda wa DAB, we subiri uone. Jana si uliona, yani raia wapo radhi wa crop nyee ya jamaa kuliko wasanii waliohudhuria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…