meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,425
- 4,768
nitamuuliza tuMuulize mama yako huyu kweli baba yangu mbona hatujafanana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nitamuuliza tuMuulize mama yako huyu kweli baba yangu mbona hatujafanana
How about a stupid question...do you have any idea what it needs?simple question that needs simple answer
Wale wanaojiita eti ''sniper'' ndio kikundi kinachoongoza kwa kufanya huu uhuni wa kuteka na kuua! Tunajua wako chini ya Bashite.simple question that needs simple answer
no idea but just trying to force you think beyond the boxHow about a stupid question...do you have any idea what it needs?
ya bashite yakae pembeni tujadili na hawa wengine...ambao wana nguvu ya kumjua kila mtu including freemasons!!Wale wanaojiita eti ''sniper'' ndio kikundi kinachoongoza kwa kufanya huu uhuni wa kuteka na kuua! Tunajua wako chini ya Bashite.
kwa influence yake na ujuvi wake atakuwa anajua.Gwajima nitapenda atuambie Ben amefichwa na nani
Hatuwezi kuyaweka pembeni kwasababu ndio chanzo cha uovu na mauaji yanayofanywa na hicho kikundi. Huhitaji nguvu yoyote kuwajua bali ni matendo yao ndio yanawajulisha. Mrudisheni Ben Saanane nyie kina Bashite!ya bashite yakae pembeni tujadili na hawa wengine...ambao wana nguvu ya kumjua kila mtu including freemasons!!
kuna mada zake nyingi tu...hapa tunaongelea undani na muelekeo wa Gwajima.Hatuwezi kuyaweka pembeni kwasababu ndio chanzo cha uovu na mauaji yanayofanywa na hicho kikundi. Huhitaji nguvu yoyote kuwajua bali ni matendo yao ndio yanawajulisha. Mrudisheni Ben Saanane nyie kina Bashite!
ya bashite yakae pembeni tujadili na hawa wengine...ambao wana nguvu ya kumjua kila mtu including freemasons!!
Mwelekeo wa Gwajima ni kutaka kikundi cha utekeaji na mauaji kinachoongozwa na Bashite kiseme kilimfanya nini Ben Saanane. Kiache kutengeneza sinema za kichina na kina Romakuna mada zake nyingi tu...hapa tunaongelea undani na muelekeo wa Gwajima.
Wanaweza wasifanane kabisaa kinachohitajika ni kuderive hiyo integral equation ili kifikia hitimisho...it is as simple as that.Kwani swali lako lina tija gani? Au umelinganisha majina na kazi za hawa watu tu? Hawawezi kufanana hata kidogo!
ni muelekeo mwema sana ambao hata mimi ninao...kama ana ujuzi huo ni basi ni mtu mweledi haswa...question ni moja tu ana fanana au kutofautiana vipi na mchungaji maarufu wa kule uganda?Mwelekeo wa Gwajima ni kutaka kikundi cha utekeaji na mauaji kinachoongozwa na Bashite kiseme kilimfanya nini Ben Saanane. Kiache kutengeneza sinema za kichina na kina Roma
Mimi nilifikiria ungemfananisha Kibwetere na Bashite kwani wote ni matapeli na wauaji! Gwajima alimuua nani?ni muelekeo mwema sana ambao hata mimi ninao...kama ana ujuzi huo ni basi ni mtu mweledi haswa...question ni moja tu ana fanana au kutofautiana vipi na mchungaji maarufu wa kule uganda?
Wako copyright.Joseph Kibweteere - Wikipedia
Je Gwajima ana influence inayoweza kitupelekea kwenye historia ya Kibwetere?
wanaweza wasifanane kabisaa kinachohitajika ni kuderive hiyo integral equation ili kifikia hitimisho...it is as simple as that.
Mmelichokoza dude limeanza kuwanyoosha mnalia-liaJoseph Kibweteere - Wikipedia
Joseph Kibweteere | Murderpedia, the encyclopedia of murderers
Je Gwajima ana influence inayoweza kitupelekea kwenye historia ya Kibwetere?
mimi sikuwepo...hoja ya hapa ni je unamfananishaje au kumtofautisha Gwajima na kibwetere?kwanini kuna kigugumizi?Mmelichokoza dude limeanza kuwanyoosha mnalia-lia
iko siku ya kuwafananisha lakini sio leoMimi nilifikiria ungemfananisha Kibwetere na Bashite kwani wote ni matapeli na wauaji! Gwajima alimuua nani?