Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

ya bashite yakae pembeni tujadili na hawa wengine...ambao wana nguvu ya kumjua kila mtu including freemasons!!
Hatuwezi kuyaweka pembeni kwasababu ndio chanzo cha uovu na mauaji yanayofanywa na hicho kikundi. Huhitaji nguvu yoyote kuwajua bali ni matendo yao ndio yanawajulisha. Mrudisheni Ben Saanane nyie kina Bashite!
 
kuna mada zake nyingi tu...hapa tunaongelea undani na muelekeo wa Gwajima.
 
Amini nawaambia, huyu sijui ni askofu au ni mchungaji Gwajima atakuja kuwatumbukiza wamuaminio kwenye matatiza makubwa pengine kuliko ya Kibwetere. Hivi inakuwaje waumini wanafurahia kuhubiriwa mipasho badala ya neno LA MUNGU? Huyu ni wale waliotabiriwa kuwa ni wa uongo, angalia aliliamrisha jini liende kwa bashite lakini liligoma, hamjiulizi tu? Hivi kweli mtumishi wa MUNGU anaweza kuamrisha hilo pepo liende kwa mwanawe bashite baada ya kushindwa kwenda kwa bashite na nyinyi bado mnamuamini tu? Sielewi sisi watanzania tuna matatizo gani, kuambiwa tunaambiwa na kuona pia hatuoni? Ooh GOD please help us.
 
Mwelekeo wa Gwajima ni kutaka kikundi cha utekeaji na mauaji kinachoongozwa na Bashite kiseme kilimfanya nini Ben Saanane. Kiache kutengeneza sinema za kichina na kina Roma
ni muelekeo mwema sana ambao hata mimi ninao...kama ana ujuzi huo ni basi ni mtu mweledi haswa...question ni moja tu ana fanana au kutofautiana vipi na mchungaji maarufu wa kule uganda?
 
ni muelekeo mwema sana ambao hata mimi ninao...kama ana ujuzi huo ni basi ni mtu mweledi haswa...question ni moja tu ana fanana au kutofautiana vipi na mchungaji maarufu wa kule uganda?
Mimi nilifikiria ungemfananisha Kibwetere na Bashite kwani wote ni matapeli na wauaji! Gwajima alimuua nani?
 
Back
Top Bottom