Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

Kawe katika miaka mitano hii wasitegemee kuzika watu wa misukule.
 
Swali hili bado ni valid, wakati Watanzania tunasubiria Chanjo ya Covid 19, Akofu Gwajima anaipinga wazi wazi, tena kwa kutumia mimbari !, huyu ni mtumishi wa Mungu wa kweli ?.
P
 
Swali hili bado ni valid, wakati Watanzania tunasubiria Chanjo ya Covid 19, Akofu Gwajima anaipinga wazi wazi, tena kwa kutumia mimbari !, huyu ni mtumishi wa Mungu wa kweli ?.
P
Heshimu maoni yake....maana huwa mnadai uhuru wa kujieleza/kutoa maoni.
 
Naunga mkono hoja,
P
 
Swali hili bado ni valid, wakati Watanzania tunasubiria Chanjo ya Covid 19, Akofu Gwajima anaipinga wazi wazi, tena kwa kutumia mimbari !, huyu ni mtumishi wa Mungu wa kweli ?.
P
Mchumia tumbo, tu ka mimi na wewe!
Akaitwa akala dinner na Bill Gates, naye atatupigia picha kachanjwa.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Ni kada mwenzako aliyechaguliwa na chama chako kuwa mbunge wa Kawe. Kaeni chini mzungumze.
Swali hili bado ni valid, wakati Watanzania tunasubiria Chanjo ya Covid 19, Akofu Gwajima anaipinga wazi wazi, tena kwa kutumia mimbari !, huyu ni mtumishi wa Mungu wa kweli ?.
P
 
Bishop Rev. Josephat Gwajima hawezi kusujudu na kuabudu mashetani kamwe. Huyu mtu ni "JITU LA MBINGUNI" na ni sauti ya mtu aliaye nyikani kusema itengenezeni njia ya Bwana maana ufalme wa Mungu Yehova upo tayari...!!

Sijui kama umenielewa
Nimekuelewa sana. Karibu na mitaa hii.
P
 
Mkuu Fumadilu Kalimanzila , hilo la kumtafuna mtu, mnauhakika au mnamsingizia tuu kumchafua mtumishi wa Bwana ?.
P
 
Ni mtumishi wa Mungu, hayo makando kando yake unayoyaona, watamalizana na Mungu wake!! wewe hayakuhusu!!
 
Pili hana njaa Kama wewe!! hivyo hanasababu ya kujipendekeza kwa mtu!!
 
Tapeli anajifanya kufufua misukule kumbe ni muongo wa kutupwa. Anajifanya daktari wa philosophy kumbe kasoma Diploma mill kule SA, anajifanya ametunga vitabu vya kijapani...vipo wapi? na kwanini havitafsiriwa? huyu Gwajima, mfufuaji misukule ni muongo wa kutupwa na tapeli mkubwa.
 
Saa chache kabla ya kwenda kuhojiwa na Kamati ya nidhamu ya chama chake (CCM), Mchungaji Josephat Gwajima ametangaza mfungo wa saa 72 kwa ajili ya kumng'oa (mtawala) Amaleki katika nchi.
kwani Amaleki mwenyewe anasemaje?
Vitu kama hivi ni vizuri sana, kwasababu ndio vitathibitisha huyu ni mtumishi wa Mungu wa kweli au ni mtumishi wa mungu tuu!.
Kama ni mtumishi wa Mungu kweli, ndani ya saa 72, Amaleki anang'olewa!, lakini kama ni mtumishi wa Mungu tuu, mnaweza kukuta ndio kwanza, anayengolewa ni yeye!.
Na tusubiri hizo saa 72!.
P
 
Tusubiri tuone
 
KENZY Naomba clip ya hii video. Nataka nimtumie mtu, nahitaji iwe katika video clip,
Asante
 
Tafsiri za mambo ya rohoni ni ngumu kuyaelewa kirahisi namna hii, maombi ya Kanisa lake ya kumg'oa Amaleki huwezi tafsiri moja kwa moja kwamba ni kuhusu maswala yaliyoko mbele yake ya chama chake,

Wewe ni mtu unayeheshimika kwa jamii kwa kiasi fulani, na kwa kazi yako ungeweza kufanya nae mahojiano maana ni mwanachama mwenzako wa chama chenu kuhusu maombi aliyolitangazia kanisa lake ukajua kiundani,

Mwisho wa mwaka kila mmoja humaliza mwaka kwa namna yake, wengine wanakuwa na maombi ya kumshukuru Mungu na wengine wanakwenda kwa mizimu yao na wengine wanaona ni kama jana hakuna cha maana,

Mtu mzima namna yako, angalia vizuri post yako mkuu, najua ni maoni yako na kila mtu ana haki ya kusema lolote ilimradi havunji taratibu zilizopo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…