Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

Kwa maneno yake Mchungaji Dr gwajima ulisema unamfahamu bwana Paul christian Makonda kwa jina la Daudi Bashite na mpaka kwao unapafaham , mpaka shule aliyosoma unaijua haitoshi mpaka walimu waliomfundisha unawajua.

my point ni kuwa kama unayoyasema ni kweli ulikuwa wap muda wote huo kutuambia watanzania..

Kwanza paul alichaguliwa kama Raisi wa chuo then akaja akawa Raisi wa Tahliso japo umesema nakonda alikuwa akifeli feli nnachojua mimi uwez kuwa Raisi na Gpa ya kuunga unga

pili Rais Mstaafu Mh Dr jakaya Mrishi kikwete alimteua katika bunge la katiba lakini wewe ulikuwa kimya kama huoni vile.

tatu Kikwete pia alimteua kuwa mkuu wa wilaya ya kinondoni wilaya ya wajanja wewe ulikuwa kimya tena ulikuwa chini ya wilaya yake.

nne Raisi mwenye Phd Dr john pombe magufuli alinteua kuwa mkuu wa mkoa wa dar es salaam bado ulikuwa kimya kama huoni

Mwisho bwana Paul Christian Makonda anaana mapambano wa wauzaji na watumiaji wa sembe unajitokeza na kuanza kumshambulia mbona chadema wenzako wametumia busara na kwenda mahakamani na sio kuropoka kama unavofanya wewe. Kumbuka wewe ni mtumishi wa Mungu sio Mtumishi wa siasa , inawezekana ni kweli ndugu yetu paul makonda ametumia jina lisilo lake lakini Tunakuamini vipi na ulikuwa wapi.

kwa hisani ya DAUDI BASHITE KOLMIJEI
 
Acha ujinga wewe, hebu mtafute mtu humu JF anaitwa Paul Alex umuulize maana yeye ndiye alisoma nae.

wakati mwengine Ni bora kujifanya mjinga ili mambo yaende.

Unatilia shaka uchungaji wake kisa kasema kuhusu Elimu Hewa?
 
Amegusa wanaume nyuma ngoja wamuonye
Nawewe acha Ubashite
 
Kwani musa alirudi misri kumbembeleza farao? Pepo hachekewi anakemewa [HASHTAG]#bringcertificates[/HASHTAG]
 
Sijui kama unajua kuwa hata laana pia yatoka kwa Mungu na mchungaji anaweza kukuombea kupata laana hiyo? Nitarudi kama utataka ufafanuzi.
 
Nukuu ya Mtumishi Gwajima aliposema atafanya nini baada ya kuchafuliwa na issue ya drugs

"Wajinga hulipa kisasi
Wenye akili huachia
Walio na Mungu husamehe,
Mimi nina Mungu kwahiyo nasamehe"

Kinachoendelea kanisani kwa Gwajima haki hakisi hata nukta moja ya alichokisema

Watumishi kwa mujibu wa bibilia wanatufunza tusamehe saba mara sabini,
Sala ya Bwana inasema Mungu atusamehe kama tunavyo wasamehe waliotukosea

Gwajima aliwahi kumporomoshea matusi mazito askofu Pengo, lakini Pengo alijibu namsamehe na nitamuombea kwa Mungu

Katika ukristo vita yetu si ya kimwili bali kiroho, Gwajima anapigana vita ya kimwili sasa, goti pekee lilitosha kumuachia Mungu afanye mustakabali kwa alichofanya makonda kwa mtumishi

Gwajima amesamehe nini sasa? Kauli kali za kidunia dhidi ya mtu aliye mkosea hazi akisi maneno yake kama mtumishi, Mungu wetu hadhiakiwi wala hapiganiwi kwa nguvu na fitina za kidunia
Ni kupitia maombi, kuongea na Mungu direct na kumuachia Mungu kutenda kwa kadiri imfaayo

Mwisho kabisa nimalizie kwa kusema Hii haina uhusiano wowote na kumtetea Makonda dhidi ya kashfa ya kutumia vyeti vya kugushi.
Kama raia mwema naunga mkono Makonda athibitishe elimu yake na ikiwa amefoji sheria ichukue mkondo wake kama kawaida
 
Gwajima ni mjasiriadini hata waumini sijui wanaupeo gani wa masuala ya kiimani.Hizi dini watu wanatumia kama vichaka vya kufichia maovu yao.

Kikubwa, hao waumin wake hawana athari zozote kwa jamii.Vipi kama wangekuwa wakijitoa muhanga, kujilipua,n.k?
 
NDUGU PAUL S.S MADA YAKO ILI TAKIWA IWE HIVI:

Kama raia mwema naunga mkono Makonda athibitishe elimu yake na ikiwa amefoji sheria ichukue mkondo wake kama kawaida.

ZILIZO BAKI NI POROJO TU!!!.

Hoja yangu ni nikuu ya Gwajima mara tu baada ya kutoka sentro

Vyeti tupo watu wengi sana tutahoji maana haya ni ya kaisari mkuu
 
Kikubwa, hao waumin wake hawana athari zozote kwa jamii.Vipi kama wangekuwa wakijitoa muhanga, kujilipua,n.k?
Ndio maana Kibwetere alifanikiwa kuwachoma moto waumini wake yote sababu ya kufuata dini kindondocha. Hao wanaojipua na wafuasi wa Gwajima hawana tofauti.
 
Gwajima nitapeli wa neno la Mungu! Amekaa kimaslahi zaidi amedumaa kiroho mno..! Anaenenda kidunia zaidi kuliko kimungu.
 
Ndio maana Kibwetere alifanikiwa kuwachoma moto waumini wake yote sababu ya kufuata dini kindondocha. Hao wanaojipua na wafuasi wa Gwajima hawana tofauti.
Wewe unaonekana umevuta bangi au wewe ni mnywa viroba sasa vimekukolea unaanza kutusi watu.
 
Back
Top Bottom