Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

Wakuu
nimekuwa mfuklatiliaji wa sakata hili tangu lilipoanza na lilipofikia sasa
washukiwa ni wengi na jinsi walivyozipokea taarifa za kuhusishwa na dawa za kulevya ni tofauti kabisa na jinsi zilivyopokelewa na Mchungaji Gwajima!

Kwa jinsi Gwajima alivyozipokea na kupigana vita hii ya yeye kujihusisha dawa za kulevya, huenda kweli ni muhusika wa isue hii

Kwa Gwajima anavyolichukulia jambo hili ni dhahiri ajielewi na anaendeshwa na dawa za kulevya!
Ndio, Gwajima ni muathirika wa dawa za kulevya na anahitaji msaada toka kwa watanzania na serkali kumnusuru na janga hili kwani hali aliyonayo sasa bado aijamuathiri zaidi hivyo awaishiwe tiba!

Nakubaliana na kampeni onesha vyeti, ila sio kwa kushikilia mambo anayoyafanya mtu Caliber ya Gwajima!

Kwa mtu makini atakuwa amegundua kuwa Gwajima sio mzima, kwani wangapi wamechafuliwa na tuhuma hizi na wako kimya?

Kwa jinsi Gwajima anavyolihandle suala hili huenda kweli ni mtumiaji na ameathirika na dawa za kulevya!
 
mkuu kumbe ww ni mbishi saaana yani madaktari wamempima ww hukubaliani na hilo eti anatumia dahhhh

afu swala la vyeti lazma alifatilie kwakuwa kuna wasomi wengi wapo tu hawapati kazi kwahyo kama anavyeti feki lazma afuatiliwe ili atolewe kwenye ile post
 
Kwahiyo unataka kusema ofisi ya mkemia mkuu ilihongwa na Gwajima?

Tuendelee kumuunga mkono ndugu rais katika kupambana na makanjanja wa elimu..

Kama ulimaliza kidato cha nne ukapata zero ni bora ukawa muwazi ili ukapangiwe kazi ya size yako!
 
Wakuu
nimekuwa mfuklatiliaji wa sakata hili tangu lilipoanza na lilipofikia sasa
washukiwa ni wengi na jinsi walivyozipokea taarifa za kuhusishwa na dawa za kulevya ni tofauti kabisa na jinsi zilivyopokelewa na Mchungaji Gwajima!

Kwa jinsi Gwajima alivyozipokea na kupigana vita hii ya yeye kujihusisha dawa za kulevya, huenda kweli ni muhusika wa isue hii

Kwa Gwajima anavyolichukulia jambo hili ni dhahiri ajielewi na anaendeshwa na dawa za kulevya!
Ndio, Gwajima ni muathirika wa dawa za kulevya na anahitaji msaada toka kwa watanzania na serkali kumnusuru na janga hili kwani hali aliyonayo sasa bado aijamuathiri zaidi hivyo awaishiwe tiba!

Nakubaliana na kampeni onesha vyeti, ila sio kwa kushikilia mambo anayoyafanya mtu Caliber ya Gwajima!

Kwa mtu makini atakuwa amegundua kuwa Gwajima sio mzima, kwani wangapi wamechafuliwa na tuhuma hizi na wako kimya?

Kwa jinsi Gwajima anavyolihandle suala hili huenda kweli ni mtumiaji na ameathirika na dawa za kulevya!
Vipi mtu akikwambia wenda babayako ni mvutaunga? Akamweka kizuizini kwasababu hiyo? Jifunze kujali nafsi zawatu Kama yako na wazazi wako. Learn to be loyal
 
Wakuu
nimekuwa mfuklatiliaji wa sakata hili tangu lilipoanza na lilipofikia sasa
washukiwa ni wengi na jinsi walivyozipokea taarifa za kuhusishwa na dawa za kulevya ni tofauti kabisa na jinsi zilivyopokelewa na Mchungaji Gwajima!

Kwa jinsi Gwajima alivyozipokea na kupigana vita hii ya yeye kujihusisha dawa za kulevya, huenda kweli ni muhusika wa isue hii

Kwa Gwajima anavyolichukulia jambo hili ni dhahiri ajielewi na anaendeshwa na dawa za kulevya!
Ndio, Gwajima ni muathirika wa dawa za kulevya na anahitaji msaada toka kwa watanzania na serkali kumnusuru na janga hili kwani hali aliyonayo sasa bado aijamuathiri zaidi hivyo awaishiwe tiba!

Nakubaliana na kampeni onesha vyeti, ila sio kwa kushikilia mambo anayoyafanya mtu Caliber ya Gwajima!

Kwa mtu makini atakuwa amegundua kuwa Gwajima sio mzima, kwani wangapi wamechafuliwa na tuhuma hizi na wako kimya?

Kwa jinsi Gwajima anavyolihandle suala hili huenda kweli ni mtumiaji na ameathirika na dawa za kulevya!
Pole sana kwa yaliyokusibu.
 
Madawa ya kulevya unayatumia wewe maana hata uwezo wako wa kufikiri na kutenda ni 0
 
You must be crazy, wamempima wao, serikali, wakasema there are no traces of narcotics, wewe unaleta longo longo hapa. Mwambie rafiki yako Bashite atoe vyeti, wacha filimbi, leta vyeti1
 
mkuu kumbe ww ni mbishi saaana yani madaktari wamempima ww hukubaliani na hilo eti anatumia dahhhh

afu swala la vyeti lazma alifatilie kwakuwa kuna wasomi wengi wapo tu hawapati kazi kwahyo kama anavyeti feki lazma afuatiliwe ili atolewe kwenye ile post
Mkuu hao ndio vijana wa ccm hawajui hata maana ya utaalam wa madaktari au mkemia mkuu wa serikali
 
Wakuu
nimekuwa mfuklatiliaji wa sakata hili tangu lilipoanza na lilipofikia sasa
washukiwa ni wengi na jinsi walivyozipokea taarifa za kuhusishwa na dawa za kulevya ni tofauti kabisa na jinsi zilivyopokelewa na Mchungaji Gwajima!

Kwa jinsi Gwajima alivyozipokea na kupigana vita hii ya yeye kujihusisha dawa za kulevya, huenda kweli ni muhusika wa isue hii

Kwa Gwajima anavyolichukulia jambo hili ni dhahiri ajielewi na anaendeshwa na dawa za kulevya!
Ndio, Gwajima ni muathirika wa dawa za kulevya na anahitaji msaada toka kwa watanzania na serkali kumnusuru na janga hili kwani hali aliyonayo sasa bado aijamuathiri zaidi hivyo awaishiwe tiba!

Nakubaliana na kampeni onesha vyeti, ila sio kwa kushikilia mambo anayoyafanya mtu Caliber ya Gwajima!

Kwa mtu makini atakuwa amegundua kuwa Gwajima sio mzima, kwani wangapi wamechafuliwa na tuhuma hizi na wako kimya?

Kwa jinsi Gwajima anavyolihandle suala hili huenda kweli ni mtumiaji na ameathirika na dawa za kulevya!
Bashite mkubwa wewe
 
mkuu kumbe ww ni mbishi saaana yani madaktari wamempima ww hukubaliani na hilo eti anatumia dahhhh

afu swala la vyeti lazma alifatilie kwakuwa kuna wasomi wengi wapo tu hawapati kazi kwahyo kama anavyeti feki lazma afuatiliwe ili atolewe kwenye ile post
Nani alikuambia nafasi ya Mkuu wa mkoa ni ya kisomi nani? Ole Sendeka sialiwahi semwa kuwa aliferi lakini si ni Mkuu wa mkoa? Nafasi ya ukuu wa mkoa inaweza shikiliwa na MTU yeyote
 
Katika swala la vyeti feki kwa Mara ya kwanza namuunga mkono rais
 
Wakuu
nimekuwa mfuklatiliaji wa sakata hili tangu lilipoanza na lilipofikia sasa
washukiwa ni wengi na jinsi walivyozipokea taarifa za kuhusishwa na dawa za kulevya ni tofauti kabisa na jinsi zilivyopokelewa na Mchungaji Gwajima!

Kwa jinsi Gwajima alivyozipokea na kupigana vita hii ya yeye kujihusisha dawa za kulevya, huenda kweli ni muhusika wa isue hii

Kwa Gwajima anavyolichukulia jambo hili ni dhahiri ajielewi na anaendeshwa na dawa za kulevya!
Ndio, Gwajima ni muathirika wa dawa za kulevya na anahitaji msaada toka kwa watanzania na serkali kumnusuru na janga hili kwani hali aliyonayo sasa bado aijamuathiri zaidi hivyo awaishiwe tiba!

Nakubaliana na kampeni onesha vyeti, ila sio kwa kushikilia mambo anayoyafanya mtu Caliber ya Gwajima!

Kwa mtu makini atakuwa amegundua kuwa Gwajima sio mzima, kwani wangapi wamechafuliwa na tuhuma hizi na wako kimya?

Kwa jinsi Gwajima anavyolihandle suala hili huenda kweli ni mtumiaji na ameathirika na dawa za kulevya!
Sasa mbona kapimwa kakutwa hana hata chembe ya dawa kwny damu wala mkojo??Tuamini hisia zako kuliko scientific proof,utakuwa wew ndio umeathirika mpaka hujui ukisemacho!
Mods toeni upuuzi huu
 
You must be crazy, wamempima wao, serikali, wakasema there are no traces of narcotics, wewe unaleta longo longo hapa. Mwambie rafiki yako Bashite atoe vyeti, wacha filimbi, leta vyeti1
Sijasema asitoe vyeti

Ila vitendo vya Gwajima ni dhahiri kaelemewa na ivyo vitu
 
Wewe umekuja leo kutoka koromije, nenda kacheze unakochezaga hili jukwaa sio saizi yako
 
Wakuu
nimekuwa mfuklatiliaji wa sakata hili tangu lilipoanza na lilipofikia sasa
washukiwa ni wengi na jinsi walivyozipokea taarifa za kuhusishwa na dawa za kulevya ni tofauti kabisa na jinsi zilivyopokelewa na Mchungaji Gwajima!

Kwa jinsi Gwajima alivyozipokea na kupigana vita hii ya yeye kujihusisha dawa za kulevya, huenda kweli ni muhusika wa isue hii

Kwa Gwajima anavyolichukulia jambo hili ni dhahiri ajielewi na anaendeshwa na dawa za kulevya!
Ndio, Gwajima ni muathirika wa dawa za kulevya na anahitaji msaada toka kwa watanzania na serkali kumnusuru na janga hili kwani hali aliyonayo sasa bado aijamuathiri zaidi hivyo awaishiwe tiba!

Nakubaliana na kampeni onesha vyeti, ila sio kwa kushikilia mambo anayoyafanya mtu Caliber ya Gwajima!

Kwa mtu makini atakuwa amegundua kuwa Gwajima sio mzima, kwani wangapi wamechafuliwa na tuhuma hizi na wako kimya?

Kwa jinsi Gwajima anavyolihandle suala hili huenda kweli ni mtumiaji na amea
thirika na dawa za kulevya!

Wewe si kwamba unavuta mwenyewe la hasha unalala chumba kimoja na wavutaji.
Umeathirika na kitu kinaitwa
"Passive smoking"
 
Back
Top Bottom