Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

Habarini wanajamvi,

Mimi siyo muandishi mzuri wa threads lakini kwa hili la Gwajima na uchungaji/utumishi feki nimeguswa kulizungumzia,Ninaamini baada ya hapa moyo wangu utapata amani..

Nimekuwa nikiwafuatilia watumishi hasa hawa wa makanisa yanayojiita ya maombezi kwa ukaribu sana na nikagundua vitu vingi sana kutoka kwao...Ila leo sitaki kuwaongelea wengine,case study yangu atakuwa ni ndugu Gwajima...!Katika utafiti wangu usio rasmi nimegundua ya kuwa Gwajima ni mtumishi feki wa MUNGU(Kama nimekosea,MUNGU WA MBINGUNI ALIYE HAI ANISAMEHE DHAMBI HII).Ninasema hivi kwa sababu zifuatazo....

i) Watumishi wa Mungu hawalipi kisasi,Kisasi ni cha Mungu,Hiki kitu kwa ndugu yetu Gwajima hakipo kabisa,akiinza kuongea pale kanisani kwake kama wewe ni mtu usiyemfahamu unaweza dhani ni mtu tu wa duniani anatoa madukuduku yake...Kichambo heavy alichowahi kumpa Kardinali Pengo,Paul Makonda na Emmanuel Mbasha ni mfano hai wa tabia yake halisi.

ii)Watumishi wa Mungu Hawarushii watu MAPEPO Bali waganga na wachawi ndiyo hufanya hivyo,Nimesikitishwa sana na clip niliyoiona ikisambaa mtaani Gwajima akiyaamuru MAPEPO yaende kumuingia ndugu Paul Makonda,Hii ni kitu mbaya sana kuwahi kufanywa na mtu anayejidadavua mbele za watu kuwa yeye ni mtumishi wa Mungu...Yesu alisema ndugu yako akikupiga upande wa kuume,mgeuzie na kushoto,maana yake ni kuwa SAMEHE SABA MARA SABINI,Je Ndugu Gwajima anatumia NENO Gani kutekeleza anayoyatekeleza?

iii) Neno la MUNGU linasema vita yetu si ya Damu na Nyama,kwa nini yeye anakubali kupigana vita hiyo?Je kuna haja ya mtumishi wa MUNGU kukaa nyumbani mwa BWANA huku BODYGUARDS wakiwa naye kila hatua anayopiga,je kuna kitu gani anakiogopa kinachomfanya aweke ulinzi mpaka kanisani.

Nmaliza kwa kusema,Yesu alisema siku za mwisho watatokea,manabii feki,makristo wa uongo,watumishi feki watakaotumia jina lake kuponya wagonjwa na kufanya miujiza mikubwa huku wakijua ya uwa ndani yao wanamtumikia baba wa uongo (Lucifer)Hivyo Mungu atusaidie tuweze kuchanganua kuwatambua watuishi feki kma Gwajimana wale wanaosimama katika kweli ya Mungu...Wafuasi wa Gwajima amkeni katika usingizi mzito msijeangamia kwa kukosa maarifa

NAWASILISHA
 
Yoooooooooote haya umeyaona baada ya yy kuongea ishu ya vyeti? Na waumini wake wanaojaa mpaka upande wa pili wa bara bara pale ubungo wooooooooooooote hawana akili ni ww tu ndio unakili na kugundua hilo?
 
hayo mambo ya imani ni ya kwake na waumini wake sisi tunataka vyeti
 
Yoooooooooote haya umeyaona baada ya yy kuongea ishu ya vyeti? Na waumini wake wanaojaa mpaka upande wa pili wa bara bara pale ubungo wooooooooooooote hawana akili ni ww tu ndio unakili na kugundua hilo?
Haikuwa maana yangu hiyo....Nimeyaona hayo baada ya yeye kufanya jaribio la kumtupia mapepo mwenzie
 
Akiweka Vyeti Tukiviona Kama Fake
Akamatwe Haraka Astakiwe Haraka
 
Gwajima namuamini sana. Hiv bila yy tungejua bwana yule kuwa ni mhalifu wa vyeti?
ACHA MANENO WEKA VVTETI.
Km atalindwa na wahalifu wenzake basi na wengine warudi makazini.
ASANTE BASHITE KWA OPERESHENI YAKO YA MADAWA YA KULEVYA. TZ INA WATU WENGI SANA WENYE UTHUBUTU NA WENYE VYETI HALALI AMBAO WATAENDELEZA SUALA LA MADAWA YA KULEVYA.
Hapo ndipo najidhihiridha kuwa viongozi wetu wanafiki sana. HAYA MAMA NDALICHAKO NAONA UMEKAA KIMYA LKN UTAFIKA MUDA WA KUJA KWA WANANCHI HAPO NDIPO UTATUAMBIA NN KILIKUFANYA NA MWENZAKO KUFANYA ZOEZI LA UHAKIKI WA VYETI?
 
nimekaa nimetafakari ile migogoro na kardinali pengo,maneno yote aliotamka...nimekaa nikatafakari pia maneno anayoyatoa juu ya bashite,nimekaa nimetafakari maneno na migogoro na DK slaa..kwa kweli kiongozi wa dini alie nyuma ya mungu hakutakiwa kuongea hayo yote....biblia inasisitiza upendo hata kama mtu amekuudhi vipi nimefikiri yeye ndio angekua mtu wa kwanza kuyaishi hayo maneno lakini kwa huyu ni tofauti kabisaa anamdhalilisha muumba wetu kwa kweli...sijui waumini wake wana hali gani kiroho kama kama kiongozi wao ndio yupo hivi...sina mambo binafsi juu ya huyu jamaa ila kwa kiongozi wa dini hii ni hatari sana...sidhani kama gwajima anafanya kazi ya mungu na kama anafanya kazi ya mungu anajidanganya anamfanyia shetani kazi...nilitegemea yeye ndio angeleta suluhisho juu ya migogoro yote ile kila mgogoro ukihusishwa na huyu jamaa ndo unapamba moto...yesu kristo alisemwa sana na kufanyiwa fitna nyingi sanaa lakini alipotezea tu na kusamehe...tuishi kwa mfano wake
 
Huyu mungu anayeweza kuaibishwa na binadamu sio Mungu nimjuaye mimi...
Na yesu kristo unayemsemea wewe sio Yesu Kristo nimfahamuye mimi...

Kwa maana ni bora ayafanyayo Gwajima kuliko dharau ulizozifanya mbele ya Mungu

Nadhani unajua tofauti kati ya mungu na Mungu
Pia waijua tofauti ya yesu kristo na Yesu Kristo.

Baada ya kusema hayo, bado tunaendelea kumsihi bosi wetu aache kulia alete vyeti.
 
Kila mtu aangalie utakatifu wake tu
Kuumiza kichwa na utakatifu wa mtu zama hizi ni kujitakia maradhi ya moyo
 
Ukifungua kanisa usisahau Lema, Godbless anakufaa kuwa nanii or something. Umeona alivyomshukuru Mungu wake bila laana lukuki.

Usinisahau kwenye uongozi wa kinamama babangu. Ubarikiwe hadi ushangae waseme umeloga
Huyu mungu anayeweza kuaibishwa na binadamu sio Mungu nimjuaye mimi...
Na yesu kristo unayemsemea wewe sio Yesu Kristo nimfahamuye mimi...

Kwa maana ni bora ayafanyayo Gwajima kuliko dharau ulizozifanya mbele ya Mungu

Nadhani unajua tofauti kati ya mungu na Mungu
Pia waijua tofauti ya yesu kristo na Yesu Kristo.

Baada ya kusema hayo, bado tunaendelea kumsihi bosi wetu aache kulia alete vyeti.
 
Ukifungua kanisa usisahau Lema, Godbless anakufaa kuwa nanii or something. Umeona alivyomshukuru Mungu wake bila laana lukuki.

Usinisahau kwenye uongozi wa kinamama babangu. Ubarikiwe hadi ushangae waseme umeloga
Usijali, ntakuteua uwe mgeni rasmi kwenye siku ya wamama... ila hii itategemea na uwepo wa mkuu wa mkoa...

Baada ya kusema hayo napenda kukutakia heri ya Xmas na mwaka mpya 2017.
 
Ugeni rasmi sitaki baba. Unipe permanent cheo kanisani niwe napiga hela za vitenge na kushauri mama kwa kuwachangosha hela wikiendi.
Roho akufunulie maarifa.

Heri ya krismas na ya pasaka. Hongera kwa kwaresma.
Usijali, ntakuteua uwe mgeni rasmi kwenye siku ya wamama... ila hii itategemea na uwepo wa mkuu wa mkoa...

Baada ya kusema hayo napenda kukutakia heri ya Xmas na mwaka mpya 2017.
 
nimekaa nimetafakari ile migogoro na kardinali pengo,maneno yote aliotamka...nimekaa nikatafakari pia maneno anayoyatoa juu ya bashite,nimekaa nimetafakari maneno na migogoro na DK slaa..kwa kweli kiongozi wa dini alie nyuma ya mungu hakutakiwa kuongea hayo yote....biblia inasisitiza upendo hata kama mtu amekuudhi vipi nimefikiri yeye ndio angekua mtu wa kwanza kuyaishi hayo maneno lakini kwa huyu ni tofauti kabisaa anamdhalilisha muumba wetu kwa kweli...sijui waumini wake wana hali gani kiroho kama kama kiongozi wao ndio yupo hivi...sina mambo binafsi juu ya huyu jamaa ila kwa kiongozi wa dini hii ni hatari sana...sidhani kama gwajima anafanya kazi ya mungu na kama anafanya kazi ya mungu anajidanganya anamfanyia shetani kazi...nilitegemea yeye ndio angeleta suluhisho juu ya migogoro yote ile kila mgogoro ukihusishwa na huyu jamaa ndo unapamba moto...yesu kristo alisemwa sana na kufanyiwa fitna nyingi sanaa lakini alipotezea tu na kusamehe...tuishi kwa mfano wake
Mungu hadhalilishwi..... mjinga wewe.
 
Ugeni rasmi sitaki baba. Unipe permanent cheo kanisani niwe napiga hela za vitenge na kushauri mama kwa kuwachangosha hela wikiendi.
Roho akufunulie maarifa.

Heri ya krismas na ya pasaka. Hongera kwa kwaresma.
Kanisani najua una kipaji cha kuimba. Ntakupa uongozi wa kwaya ya wakinamama...

Mim nikiwa mchungaji, lazima nihakikishe mapato ya kanisa nayasimamiam mwenyewe

Nadhani unajua mi ni mhasibu niliyetukuka mwenye CPA tatu kichwani...
 
nimekaa nimetafakari ile migogoro na kardinali pengo,maneno yote aliotamka...nimekaa nikatafakari pia maneno anayoyatoa juu ya bashite,nimekaa nimetafakari maneno na migogoro na DK slaa..kwa kweli kiongozi wa dini alie nyuma ya mungu hakutakiwa kuongea hayo yote....biblia inasisitiza upendo hata kama mtu amekuudhi vipi nimefikiri yeye ndio angekua mtu wa kwanza kuyaishi hayo maneno lakini kwa huyu ni tofauti kabisaa anamdhalilisha muumba wetu kwa kweli...sijui waumini wake wana hali gani kiroho kama kama kiongozi wao ndio yupo hivi...sina mambo binafsi juu ya huyu jamaa ila kwa kiongozi wa dini hii ni hatari sana...sidhani kama gwajima anafanya kazi ya mungu na kama anafanya kazi ya mungu anajidanganya anamfanyia shetani kazi...nilitegemea yeye ndio angeleta suluhisho juu ya migogoro yote ile kila mgogoro ukihusishwa na huyu jamaa ndo unapamba moto...yesu kristo alisemwa sana na kufanyiwa fitna nyingi sanaa lakini alipotezea tu na kusamehe...tuishi kwa mfano wake
Sasa Mungu ana mdhalilishaje? Kwa imani yetu Mungu hafananishwi na kitu chochote kile.
 
Back
Top Bottom