Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

Hivi kati ya watumishi wa Mungu, Gwajima naye ni mmojawapo? Hata kama kakosewa kama anavyodai, je yeye neno la kusamehe huwa linampita pembeni? Au akisoma Biblia vifungu vinavyohusu kusamehe huwa vinafutika? Huwa anawafundishaje waumini wake kuhusu somo la msamaha?

Mathayo 6:14-15 Kwa maana mkiwasamehe watu makosa yao na Baba wenu wa mbinguni atawasamehe ninyi bali msipowasamehe watu makosa yao wala Baba yenu hatawasamehe makosa yenu."

Waefeso 4:32 "Tena iweni wafadhili ninyi kwa ninyi, wenye huruma ninyi mkasameheane kama na Mungu katika kristo alivyowasamehe ninyi."

Mathayo 18:21-22 "Kisha petero akamwendea akamwambia Bwana ndugu yangu anikose mara ngapi nami ni msamehe? hata mara saba? Yesu akamwambia sikwambii mara saba bali hata saba mara sabini."

1 Wakorintho 13:4, 5. “Upendo ni wenye ustahimilivu na wenye fadhili. Upendo hauna wivu, haujigambi, haujivuni, haujiendeshi bila adabu, hautafuti faida zake wenyewe, hauchokozeki. Hauweki hesabu ya ubaya. Haushangilii juu ya ukosefu wa uadilifu, bali hushangilia pamoja na kweli. Huhimili mambo yote, huamini mambo yote, hutumaini mambo yote, huvumilia mambo yote.”
 
Siku zote ninaamini kuwa Mungu humpa neno mtumishi wake kwajili ya waumimini wake.
Kwa kipindi sasa najiuliza ni kwamba hayo anayohubiri ndio Mungu anayo mfunualia?? Na je hao kondoo kweli wanakua kiroho kwa mahubiri hayo??
Siku zote Mtumishi wa Mungu utamjua kwa matendo yake....
"Unaweza ukaanza na Mungu lakini kwa matendo yako Mungu akakuacha na ukaendelea ukidhani una Mungu kumbe upo mwenyewe"
 
Hivi kati ya watumishi wa Mungu, Gwajima naye ni mmojawapo? Hata kama kakosewa kama anavyodai, je yeye neno la kusamehe huwa linampita pembeni? Au akisoma Biblia vifungu vinavyohusu kusamehe huwa vinafutika? Huwa anawafundishaje waumini wake kuhusu somo la msamaha?

Mathayo 6:14-15 Kwa maana mkiwasamehe watu makosa yao na Baba wenu wa mbinguni atawasamehe ninyi bali msipowasamehe watu makosa yao wala Baba yenu hatawasamehe makosa yenu."

Waefeso 4:32 "Tena iweni wafadhili ninyi kwa ninyi, wenye huruma ninyi mkasameheane kama na Mungu katika kristo alivyowasamehe ninyi."

Mathayo 18:21-22 "Kisha petero akamwendea akamwambia Bwana ndugu yangu anikose mara ngapi nami ni msamehe? hata mara saba? Yesu akamwambia sikwambii mara saba bali hata saba mara sabini."

1 Wakorintho 13:4, 5. “Upendo ni wenye ustahimilivu na wenye fadhili. Upendo hauna wivu, haujigambi, haujivuni, haujiendeshi bila adabu, hautafuti faida zake wenyewe, hauchokozeki. Hauweki hesabu ya ubaya. Haushangilii juu ya ukosefu wa uadilifu, bali hushangilia pamoja na kweli. Huhimili mambo yote, huamini mambo yote, hutumaini mambo yote, huvumilia mambo yote.”
Kasome 2wafalme 5 :9-27 utaona mtumishi Wa Mungu Elisha alimfanya nini msaidizi wake aitwae Gehazi kwa kosa la kumsingizia kuwa amemtuma kwa Naamani kuchukua pesa wakati sio kweli.

Gehazi alipewa adhabu ya ugonjwa wa ukoma tena haukuishia kwake tuu Bali aliambiwa utakuwa ktk familia yake na alikufa nao. Sio vizuri kuchezea watumishi Wa Mungu ili tuu ujipatie misifa isiyo na maana.

Someni Biblia vizuri na sio kutafsiri tuu baadhi ya maneno Kwa lengo Fulani.
Kama mtumishi Wa Mungu anayo Mamlaka ya kufunga na kufungua lazima ayatumie inapo bidi.
 
Kwanza sikumfahamu vema huyu mnayemuita mtumishi wa Mungu, issue ya Bashite imenifanya japo kidogo nimfuatilie kidogo, nimesikitika kujua kuwa naye anakashfa juu ya baadhi ya waumini wake ila pia juu wa watumishi wenzake wa Mungu, ila kilichonichosha zaidi ni pale nilipoona akiamrisha pepo likamuingie Bashite, kweli nimeanza kuwa na juu ya Mungu anayemtumikia!
 
Wengi wanaompinga gwajima ni wale vilaza waliopata zero.vyeti vyao vya magumashi.wako wengi humu.ndio wanaokwamisha maendeleo ya nchi.
 
Ukweli mchungu pengine gwajima Anajihusisha kwel na maswala ya ngada. Ila kayazua mengine ili kutaka kujisafisha na watu wajinga kubadilisha topic na kafanikiwa kiukwel kubadilisha topic
Kwa jeshi letu la polis lilivyo na sifa mbovu mpaka za kubambikia watu kesi gwajima angekuwa anauza sembe au kutumia tu angekuwa amesahaulika mpa leo msibishe.
 
Hivi kati ya watumishi wa Mungu, Gwajima naye ni mmojawapo? Hata kama kakosewa kama anavyodai, je yeye neno la kusamehe huwa linampita pembeni? Au akisoma Biblia vifungu vinavyohusu kusamehe huwa vinafutika? Huwa anawafundishaje waumini wake kuhusu somo la msamaha?

Mathayo 6:14-15 Kwa maana mkiwasamehe watu makosa yao na Baba wenu wa mbinguni atawasamehe ninyi bali msipowasamehe watu makosa yao wala Baba yenu hatawasamehe makosa yenu."

Waefeso 4:32 "Tena iweni wafadhili ninyi kwa ninyi, wenye huruma ninyi mkasameheane kama na Mungu katika kristo alivyowasamehe ninyi."

Mathayo 18:21-22 "Kisha petero akamwendea akamwambia Bwana ndugu yangu anikose mara ngapi nami ni msamehe? hata mara saba? Yesu akamwambia sikwambii mara saba bali hata saba mara sabini."

1 Wakorintho 13:4, 5. “Upendo ni wenye ustahimilivu na wenye fadhili. Upendo hauna wivu, haujigambi, haujivuni, haujiendeshi bila adabu, hautafuti faida zake wenyewe, hauchokozeki. Hauweki hesabu ya ubaya. Haushangilii juu ya ukosefu wa uadilifu, bali hushangilia pamoja na kweli. Huhimili mambo yote, huamini mambo yote, hutumaini mambo yote, huvumilia mambo yote.”
Ni kosa kubwa sana Ku forge au kutumia vyeti vya MTU mwingine. Ila ni ukichaa na upuuzi kiongozi wa dini kuendeleza visasi na vita na MTU. Kama kiongozi wa dini Gwajima anapaswa kujua kuwa Makonda/Bashite ni mkosefu kama wengine (wezi, wazinzi nk). Anayofanya Gwajima ni upuuzi kuliko ubashite wenyewe. Kiongozi wa dini anapaswa kuwa na mipaka na utu. Gwajima ameamua kuwa assassin Sasa. Makonda awajibishwe lk'n Gwajima inatosha Sasa.

Lyceum & Maboso,
Askofu Gwajima is a human being like anybody! Kitendo alichofanyiwa na Bashite a.k.a Makonda hakivumiliki! KUMSINGIZIA mtumishi wa Mungu tena kwa level ya Bishop kuwa ANATUMIA NA ANAUZA UNGA,MADAWA au NGADA whatever you call it, si jambo la kupuuza na kuliacha hivihivi! Haiwezekani na halikubaliki!
Kwa maana hiyo Daudi Badhite lazima ashkishwe adabu ili iwe mfano kwa vizazi vya sasa na vijavyo!!!!

Bashite alikuwa hajui ule msemo wa UKIKAA KWENYE NYUMBA YA VIOO USIWE WA KWANZA KURUSHA JIWE!
Hiki ndicho kilichomtokea Daudi Bashite a.k.a Paul Makonda.
Alijisahau kuwa yuko ndani ya glass house! Aliporusha jiwe moja tu jamaa wakaanza kuporomosha mvua ya mawe! Matokeo yake nyumba yote ni vipande vipande vya vioo. Daudi Bashite Kwishne!!!!!!Akirudi toka Sauz u-RC utakuwa umeota mbawa na hataajiriwa mahali popote kwa vile ni F4 FAILURE(yaani O)!!!!
Labda kama Sijonze atamwajiri kama HB!
 
Mtumishi wa mvngu bishop gwajima, salaam, na pole kwa kaz uifanyayo najua hustahil pole kwa kaz hiyo maana ni mungu kakutuma ila kwangu mm naomba nikupe pole.
Nina swali kwako mtumish, unapolichukua swala la makonda na kulifanya ajenda kuu ndani ya mahubir yako lengo lake ni nn?
Mh. Unachukua muda mwing kumsif rais na kumponda makonda maana yake ni nn?
Huna haja ya kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa rais. Rais anajua cha kufanya juu ya makonda huna haja ya kunfundusha kaz rais, kama kusikia kaskia sana, ikija tokea rais asfanye kama upendavyo nn utafanya ?
Kama makonda kakukisea kazi yako ni kumuombea, na kusamehe,.

Haka kajamaa Gwajima ni mtu asiyejitambua kwani hata nduguze na familia yake hawamuelewi tu. In short ni opportunist Fulani, yeye baada ya kufundisha na kuhutubia neon la Mungu kanisani kwake, anafanya siasa za kijinga na Misukule yake inashupalia tena na wengine wanamuomba aongee Zaidi na kusahau kurudi makwao kwenda kula na kufanya majukumu mengine.
 
Back
Top Bottom