Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,321
- 18,574
Muombee wewe yule mtu wa kuropoka ropoka tu, hajui zuri wala baya, kipindi kile aliropoka utumbo kuhusu Pengo, akipelekwa Central anazimia kama kukuMtumishi wa mungu atakula madhabahuni kwake....imeandikwa.
Ila akila Gwajima mnachukia??
Sasa kwa taarifa yako...watumishi wa mungu hapa duniani wanamiliki mindege ya kifahari...Gwajima kachelewa tu...
Tumuombee
Saivi kakomaa na Bashite Bashite mbona hivyo vyeti haweki hadharani sasa?
We uliona wapi kwenye bible wameandika mtu wa Mungu alipe kisasi?
Au Gwajima anamuabudu Mungu gani?
Sifa kubwa ya mtu wa Mungu ni kusamehe na kuacha Mungu apigane vita yake sasa huyu bwana mropokaji bado ana sifa ya kua mtumishi wa Mungu?
Uliona wapi mtumishi wa Mungu anahubiri mipasho?
Uliona wapi mtumishi wa Mungu anategemea kupata taarifa za maisha ya watu kutoka Instagram (Mange Kimambi)?