Mchungaji Gwajima ni nani? Tukianzia hapa Tutajua namna ya Kudeal na watu aina yake

.....Atakuwa amejifunza tu...kwamba Tanzania...hasa Dar es salaam hakuhitaji sana kiherehere....Waliofika Dar wakati kibao cha 'KARIBU DAR ES SALAAM' kipo Magomeni wanalielewa hili jambo....
Kumbe eddo hii ndo ID yako
 
Wasifu si kujadili mtu
Unajua kazi ya askofu ni nini au ndo mwisho wa dunia
Hivi hii tanzania wenye vyeki feki ni wangapi na kwan cheti ndo kinafanya kazi wangapi mpaka leo hawajasoma lakini kqzi wanafanya kwa kwenda mbele
 
Ambalo nina hakika nalo ni kuwa yeye ni katika manabii wa uongo ambaye kutokana kondoo kuwa wengi mjini amewakusanya na kuwakamua kidgokidogo.
Subiri kondoo wa biSHOP waje hapa; utarushiwa missile!
 
Gwajima ni mnafiki na mchukua wake za watu nan hasojua gwajima amemchukua flora mbasha? amevunja ndoa ya watu? mchungaj gan Tz au padre alovunja ndoa za mtu kama gwajima? Gwajima anajenga majumba ya kifahari kwa pesa za wahumin ambao n maskini wanatafuta pesa kwa shida.....Gwajima Ni mtu hasye na heshma wala staha.....pengo kumtukana amekosea sana lakn pengo ana hekma sana na busara wakat wa kikwete pengo alitajwa kuhusu dawa za kulevya mzee yule alinyamaza...alpotukanwa na gwajima alinyamaza pia....Naomba kukwambia hata rais kikwete sio kwamba ameshindwa kumfunga gwajima hakushindwa ila kikwete ana hekma na busara na uvumilvu sana....kikwete hasyetaka lawama.......Gwajima hana uwezo wa kushndana na rais wa nchi wala serikali kama ww unavotaka kutuamnsha....gwajima ni sawa na mkate mbele ya supu...gwajima ni sawa na tone la maji kwenye bahari....serikali wakimua kumfunga wanamfunga na mna msahau.....kwan wangap ktk nchi tafaut wamefungwa viongoz walokuwa wanasumbua serikali? wafuasi wamelalama weee mwisho wametulia.....hakuna anayemuogopa gwajima wala hana elimu ya kutsha unayotaka wewe kutuamnsha.....Tz ina viongoz wanaoheshma viongoz wa dini...lkn nafac walopewa hao viongoz wa dini wanaitumia vbaya .....kuingilia mambo yasiyowahusu.....nataman kuoneshwe mfano vp serikali ina nguvu zaidi ya waimba kwaya wa gwajima......Gwajima ni tapeli anayeamnsha watu kuwa yeye mfufuaji walokufa....huku katika ukoo wake wanakufa anashindwa kuwarejesha.......Gwajima ni nani? Gwajima n mjanja anayekula pesa za wajinga......Gwajima ni nani? Gwajima ni mtu hasokuwa na sifa ya kuww kiongoz wa dini.....Kwanza kiongoz gan wa dini ulindwe kiasi kile una nn?? Kama kulindwa angelindwa yesu.....Gwajima n mpiga deal......
 
Ndugu uko nje kabisa ya Yale yanayojadiliwa hapa. Hakuna correlation kati ya yale anayofanya biSHOP Gwaji na yale yaliyotendwa na hao Mitume na Manabii uliowataja, to make matters worse umemwingiza na Jesus Christ. Pole ndugu.
 
Gwajima siyo mchungaji wala askofu bali ni MJASIRIA DINI TU.


Don't judge so that you may not be judged. Siyo wewe unayewafanya watu kuwa wachungaji bali Mungu kwa hiyo you have a dead comment
 
Ni mtu wa kawaida sana anae ishi kwa jasho la watu wasiojitambua.mbona hatuwasikii watumishi wengine wakitiliwa mashaka kama yy ni mtumishi gani wa mungu anae ishi maisha ya kimafia kama yy,wote mmeshudia mabody guard wenye miduli na milefu ikimlinda huku na huku,mbona akina pengo,malasusa,sherkh mkuu zuber na wengine hawapo kama yeye.vipi yeye kama si umafia tu.tuweni macho hata shetani anatumia bibilia pia
 
Don't judge so that you may not be judged. Siyo wewe unayewafanya watu kuwa wachungaji bali Mungu kwa hiyo you have a dead comment
Imeandikwa ata kwa matendo yao tutawatambua..! Petro ata alivyobadili mwendo walimtambua, ata alivyojithidi kuongea tofauti bado walimtambua tu.

Sasa huyu Gwajima mbeba visasi na mpayukaji anamwakilishs Yesu yuleyule aliyemrudisha nyuma PETRO kwa kumkemea na kumwita shetani??

Vita ya Gwajima ni vita ya mwili Yesu nimjuaye vita yake ni ya roho zaidi.
 
Gwajima ni mtume Paulo . Hatari sana. Mungu atujalie watu wa type ya Gwajima hata 12 tu nchi hii itakaa sawa. Namkubali saaana
 
Jibu swali, sio kutapatapa. Hoja ya thread hii ni kumjua Gwajima kiundani, unless uliandika ukiwa umesinzia
Mabashite bhana... ujibiwe mara ngapi? Kama huelewi that's your problem and not mine!!!
 
Wee Kama unamuabudu Gwajima shauri yako ! Wengine tunamuona Ni manabii wale wa siku za mwisho aliotuelewesha bwana Yesu !
 
Gwajima ni mtume Paulo . Hatari sana. Mungu atujalie watu wa type ya Gwajima hata 12 tu nchi hii itakaa sawa. Namkubali saaana
Mtume Paulo hakuwa Kati ya wanafunzi wa Yesu, be careful !
 
Msanii fulani anayetumia dini kama kichaka cha maovu yake.
 
Katika orodha ya wana habari ambao hua nina waheshimu sana hapa Tanzania jina lako pia lipo (ni msimamo wangu, sio lazima wote mue sawa na mimi) but kwenye hili kaka umedandia kitu usicho kijua kabisa; Biblia unaifahamu kwa kiwango kidogo sana. Una haraka gani kaka ya kujua kama huyu askofu anavyo vyeti vya mhe au laa!? Amesema mwenyewe kwamba atavitoa muda ukifika, why can't we wait and see!? Hivi leaving certificate kwa Kiswahili c ni cheti pia? Mfano mtu aje aseme hivi; "Pascal hukufauru Secondary wewe, wewe ulipata 0 na cheti chako ninacho" and then akatoa hiyo leaving certificate kama ushahidi utambishia wapi ili hali wewe hutuoneshi hicho cheti chenye matokeo!? Well, nashawishika kuamini kwamba Gwajima anachosema ni kweli kwa mwenendo hu, mtuhumiwa badala ya kujielekeza kwenye kile anachotuhumiwa nacho yeye anabadiri viongozi wa dini ili wamuombee; mhe RC anasali kanisani kwa mchungaji Ndeki wa Living water, why can't he go and be prayed kwa mchungaji wake badala yake mara awaite Waislam mara Lutheran, anaogopa nini kwenda kanisani kwake ili aombewe? Mchungaji Ndeki na askofu Gwajima wote hawa ni Wapentekoste (haya ni madhehebu ya kikristo) kwanini aachane na wapentekoste wenzie na kujikita kwenye IMANI zingine? Pascal, hivi unafahamu kwamba Wapentekoste hawaamini kama Waislamu wana mwamini Mungu wa aina yao? Nafikiri ungejikita kwenye kutafiti mwenendo wa Bashite mara baada ya yeye kutupiwa dongo hata wewe ungeona kuna namna Fulani ya UKWELI ju ya shutuma anazo pewa.
Hivi mlitaka Gwajima baada ya kutuhumiwa anauza/anatumia madawa hayo ya kulevya akae tu kimya bila kusema chochote kwa watu anao waongoza!? Kaka, unafiki basi hauna kwao. Waingereza wanao msemo wao kwamba silence means Yes, so angekaa kimya hata mimi ninge amini kwamba askofu nae ni TEJA. Amejibu tena mnasema eti anyamaze kwakua yeye ni Mkristo, hiyo sio sawa
Nyie wote ni wasukuma, yaani Gwajima, mhe RC na wewe; kaani kikao chenu cha kifamilia sasa (joke of the day brother; heshima yangu kwako bado iko pale pale.)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…