Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,804
- 10,715
Mnachosha na vithread vyenu vya kijingaMabashite bhana... ujibiwe mara ngapi? Kama huelewi that's your problem and not mine!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnachosha na vithread vyenu vya kijingaMabashite bhana... ujibiwe mara ngapi? Kama huelewi that's your problem and not mine!!!
We bwege nini?! Kuna aliyekuita humu?! Kuna mahali nimeku-mention kama sio kiherehere chako kilichokufanya uni-quote?! We jamaa sijui wa wapi wewe....Mnachosha na vithread vyenu vya kijinga
Mkuu kwanza asante kwa kuniheshimu nami ningependa kuitunza heshima hiyo ila linapokuja suala la imani za watu, mimi ni mwepesi sana kukubaliana kutokukubaliana.Katika orodha ya wana habari ambao hua nina waheshimu sana hapa Tanzania jina lako pia lipo (ni msimamo wangu, sio lazima wote mue sawa na mimi) but kwenye hili kaka umedandia kitu usicho kijua kabisa; Biblia unaifahamu kwa kiwango kidogo sana. Una haraka gani kaka ya kujua kama huyu askofu anavyo vyeti vya mhe au laa!? Amesema mwenyewe kwamba atavitoa muda ukifika, why can't we wait and see!? Hivi leaving certificate kwa Kiswahili c ni cheti pia? Mfano mtu aje aseme hivi; "Pascal hukufauru Secondary wewe, wewe ulipata 0 na cheti chako ninacho" and then akatoa hiyo leaving certificate kama ushahidi utambishia wapi ili hali wewe hutuoneshi hicho cheti chenye matokeo!? Well, nashawishika kuamini kwamba Gwajima anachosema ni kweli kwa mwenendo hu, mtuhumiwa badala ya kujielekeza kwenye kile anachotuhumiwa nacho yeye anabadiri viongozi wa dini ili wamuombee; mhe RC anasali kanisani kwa mchungaji Ndeki wa Living water, why can't he go and be prayed kwa mchungaji wake badala yake mara awaite Waislam mara Lutheran, anaogopa nini kwenda kanisani kwake ili aombewe? Mchungaji Ndeki na askofu Gwajima wote hawa ni Wapentekoste (haya ni madhehebu ya kikristo) kwanini aachane na wapentekoste wenzie na kujikita kwenye IMANI zingine? Pascal, hivi unafahamu kwamba Wapentekoste hawaamini kama Waislamu wana mwamini Mungu wa aina yao? Nafikiri ungejikita kwenye kutafiti mwenendo wa Bashite mara baada ya yeye kutupiwa dongo hata wewe ungeona kuna namna Fulani ya UKWELI ju ya shutuma anazo pewa.
Hivi mlitaka Gwajima baada ya kutuhumiwa anauza/anatumia madawa hayo ya kulevya akae tu kimya bila kusema chochote kwa watu anao waongoza!? Kaka, unafiki basi hauna kwao. Waingereza wanao msemo wao kwamba silence means Yes, so angekaa kimya hata mimi ninge amini kwamba askofu nae ni TEJA. Amejibu tena mnasema eti anyamaze kwakua yeye ni Mkristo, hiyo sio sawa
Nyie wote ni wasukuma, yaani Gwajima, mhe RC na wewe; kaani kikao chenu cha kifamilia sasa (joke of the day brother; heshima yangu kwako bado iko pale pale.)
Askofu na Mchungaji Gwajima amekuwa moja ya watu maarufu na gumzo kubwa sana nchini. aina hii ya watu wapo duniani kote kwa Dini au Imani zote. Mtu wa namna hii unapoanza naye vita unapaswa kwanza kujichunguza. kuchukua muda mrefu kujichunguza wewe kwanza kabla hujaanza kumchunguza yeye na kuangalia udhaifu wake.
Tumemuona mara kadhaa Gwajima akisimama kuzungumza anachoamini pasipo kuuma uma maneno. Tumwona akimsema Laiyekuwa Rais wa Awamu iliyopita, tulimwona akisema Serikali iyopita kwa Ujasiri na kupelekea kupata matatizo kadhaa. Hakuishia hapo tu. aliwasema hata Viongozi wengine ambao aliamini walikengeuka kwa sababu moja au nyingine pasipo hofu kuwa nao wana jamii kubwa na yenye nguvu nyuma yao. Miaka ya nyuma alikuwepo Mchungaji Mtikila. huyu alikuwa na Roho hii pia miaka hiyo. alizungumza alichoamini pasipo kujali jamii kubwa inayomzunguka ina aamini nini.
Kuna haja ya Kujua Mchungaji Gwajima ni nani? ametokea wapi, ameishi katika mazingira gani, anaamini nini, ana elimu gani na kwa nini anajiamini.
tukifaham historia ya gwajima tutajiuliza ni kwa nini alitajwa kwenye uhusika wa kuuza au kujihusisha na madawa ya kulevya? alijiamini nini kusema kuwa akipimwa hata akikutwa ana kemikali za sigara/tumbaku au pombe iitwe ni madawa ya kulevya? wakati wa kupimwa walikuwepo akina nani?
habari zote kuwahusu viongozi mbalimbali au data zao na ujasili alio nao anaupata wapi? watu wa namna hii huongea yale ambayo wengine hawawezi kuongea. huamini kuwa wao ni chachu katika jamii fulani kwa maana ya kuwa wana mchango mkubwa sana. Ukienda kanisani kwa Gwajiama ana waumini wasomi, wasio na elimu dunia kubwa, walio na elimu dunia kubwa,matajiri na maskini. ukiacha waumini wa kanisani kwake. kuna ambao si waumini wa imani yake ila ni watu wanaoamini msimamo wake. na msimamo wa gwajima ni msimamo wa nyundo. hii ni karba au hulka ya watu ambao wao huamini katika kugonga kila amabcho kitakuwa kimewekwa chini yao. gwajima ni nyundo.
Gwajima huwezi ku dela naye kwa vitisho. unahitaji ku deal naye kwa hekima sana na maarifa. unapomtisha yeye huongeza mapambano. huyu ni aina ya watu ambao unaweza ukadhani ni wadogo sana lakini wana ushawishi fulan katika jamii. penda usipende wapo watu wa namna hii.
- TUSIMPENDE AU KUMCHUKIA Gwajima kwa sababu Alipishana na Askofu Pengo. Kuna ambao wanaendeleza chuki/unazi kutokana na hili. Askofu Pengo ni binadamu kama mimi na wewe ukiniweka mimi na yeye mbele za Mungu tu binadamu wote sawa. Labda ambacho kitamwongezea Credit ya Kupata Zawadi kubwa au Adhabu kubwa ni Je aliokoa au kupotosha wangapi? ila kama alizini atahukumiwa, kama alisema uongo atahukumiwa, kama alikuwa mnafiki atahukumiwa. hivyo hivyo kwa Gwajima. naye akisimamishwa na mimi ataangaliwa Ameokoa au Kupoteza wangapi..
- Tunapomwangalia Gwajima kwa kusema aliwah mtukana Ask Pengo na kuanzia hapo tukamwona hafai kwa sababu "alimtukana" au aliongea alichoamini kuhusiana na Askofu Pengo tunakosea sana. Tuangalie hoja zake peke yake. dini, imani na itikadi zetu zisiathiri jambo hili.
- Swali kuu na neno la Imani katika Mfungo huu wa Kwarezima. JE ANACHONGEA GWAJIMA NI UONGO? THIBITISHA UONGO WAKE/ASHTAKIWE HARAKA KWA KUPOTOSHA UMMA WA WATANZANIA.
Inawezekana wewe ndio msukule watch out.Me huwa najiuliza,hawa waumini wa kanisa la gwajima huwa ni binadamu wa kawaida au misukule!
Fool. Unaandika hoja tofauti wakati akili imeshikwa na bashite! Rudi FacebookMabashite bhana... ujibiwe mara ngapi? Kama huelewi that's your problem and not mine!!!
Lofa wewe. Mnajaza server tu. Mmegeuka makasuku kwa kukariri.We bwege nini?! Kuna aliyekuita humu?! Kuna mahali nimeku-mention kama sio kiherehere chako kilichokufanya uni-quote?! We jamaa sijui wa wapi wewe....
Gwajima ni mnafiki na mchukua wake za watu nan hasojua gwajima amemchukua flora mbasha? amevunja ndoa ya watu? mchungaj gan Tz au padre alovunja ndoa za mtu kama gwajima? Gwajima anajenga majumba ya kifahari kwa pesa za wahumin ambao n maskini wanatafuta pesa kwa shida.....Gwajima Ni mtu hasye na heshma wala staha.....pengo kumtukana amekosea sana lakn pengo ana hekma sana na busara wakat wa kikwete pengo alitajwa kuhusu dawa za kulevya mzee yule alinyamaza...alpotukanwa na gwajima alinyamaza pia....Naomba kukwambia hata rais kikwete sio kwamba ameshindwa kumfunga gwajima hakushindwa ila kikwete ana hekma na busara na uvumilvu sana....kikwete hasyetaka lawama.......Gwajima hana uwezo wa kushndana na rais wa nchi wala serikali kama ww unavotaka kutuamnsha....gwajima ni sawa na mkate mbele ya supu...gwajima ni sawa na tone la maji kwenye bahari....serikali wakimua kumfunga wanamfunga na mna msahau.....kwan wangap ktk nchi tafaut wamefungwa viongoz walokuwa wanasumbua serikali? wafuasi wamelalama weee mwisho wametulia.....hakuna anayemuogopa gwajima wala hana elimu ya kutsha unayotaka wewe kutuamnsha.....Tz ina viongoz wanaoheshma viongoz wa dini...lkn nafac walopewa hao viongoz wa dini wanaitumia vbaya .....kuingilia mambo yasiyowahusu.....nataman kuoneshwe mfano vp serikali ina nguvu zaidi ya waimba kwaya wa gwajima......Gwajima ni tapeli anayeamnsha watu kuwa yeye mfufuaji walokufa....huku katika ukoo wake wanakufa anashindwa kuwarejesha.......Gwajima ni nani? Gwajima n mjanja anayekula pesa za wajinga......Gwajima ni nani? Gwajima ni mtu hasokuwa na sifa ya kuww kiongoz wa dini.....Kwanza kiongoz gan wa dini ulindwe kiasi kile una nn?? Kama kulindwa angelindwa yesu.....Gwajima n mpiga deal......
Yangu aliposhindwa kumfufua Amina Chifupa kama alivyoahidi simuamini kabisa.Askofu na Mchungaji Gwajima amekuwa moja ya watu maarufu na gumzo kubwa sana nchini. aina hii ya watu wapo duniani kote kwa Dini au Imani zote. Mtu wa namna hii unapoanza naye vita unapaswa kwanza kujichunguza. kuchukua muda mrefu kujichunguza wewe kwanza kabla hujaanza kumchunguza yeye na kuangalia udhaifu wake.
Tumemuona mara kadhaa Gwajima akisimama kuzungumza anachoamini pasipo kuuma uma maneno. Tumwona akimsema Laiyekuwa Rais wa Awamu iliyopita, tulimwona akisema Serikali iyopita kwa Ujasiri na kupelekea kupata matatizo kadhaa. Hakuishia hapo tu. aliwasema hata Viongozi wengine ambao aliamini walikengeuka kwa sababu moja au nyingine pasipo hofu kuwa nao wana jamii kubwa na yenye nguvu nyuma yao. Miaka ya nyuma alikuwepo Mchungaji Mtikila. huyu alikuwa na Roho hii pia miaka hiyo. alizungumza alichoamini pasipo kujali jamii kubwa inayomzunguka ina aamini nini.
Kuna haja ya Kujua Mchungaji Gwajima ni nani? ametokea wapi, ameishi katika mazingira gani, anaamini nini, ana elimu gani na kwa nini anajiamini.
tukifaham historia ya gwajima tutajiuliza ni kwa nini alitajwa kwenye uhusika wa kuuza au kujihusisha na madawa ya kulevya? alijiamini nini kusema kuwa akipimwa hata akikutwa ana kemikali za sigara/tumbaku au pombe iitwe ni madawa ya kulevya? wakati wa kupimwa walikuwepo akina nani?
habari zote kuwahusu viongozi mbalimbali au data zao na ujasili alio nao anaupata wapi? watu wa namna hii huongea yale ambayo wengine hawawezi kuongea. huamini kuwa wao ni chachu katika jamii fulani kwa maana ya kuwa wana mchango mkubwa sana. Ukienda kanisani kwa Gwajiama ana waumini wasomi, wasio na elimu dunia kubwa, walio na elimu dunia kubwa,matajiri na maskini. ukiacha waumini wa kanisani kwake. kuna ambao si waumini wa imani yake ila ni watu wanaoamini msimamo wake. na msimamo wa gwajima ni msimamo wa nyundo. hii ni karba au hulka ya watu ambao wao huamini katika kugonga kila amabcho kitakuwa kimewekwa chini yao. gwajima ni nyundo.
Gwajima huwezi ku dela naye kwa vitisho. unahitaji ku deal naye kwa hekima sana na maarifa. unapomtisha yeye huongeza mapambano. huyu ni aina ya watu ambao unaweza ukadhani ni wadogo sana lakini wana ushawishi fulan katika jamii. penda usipende wapo watu wa namna hii.
- TUSIMPENDE AU KUMCHUKIA Gwajima kwa sababu Alipishana na Askofu Pengo. Kuna ambao wanaendeleza chuki/unazi kutokana na hili. Askofu Pengo ni binadamu kama mimi na wewe ukiniweka mimi na yeye mbele za Mungu tu binadamu wote sawa. Labda ambacho kitamwongezea Credit ya Kupata Zawadi kubwa au Adhabu kubwa ni Je aliokoa au kupotosha wangapi? ila kama alizini atahukumiwa, kama alisema uongo atahukumiwa, kama alikuwa mnafiki atahukumiwa. hivyo hivyo kwa Gwajima. naye akisimamishwa na mimi ataangaliwa Ameokoa au Kupoteza wangapi..
- Tunapomwangalia Gwajima kwa kusema aliwah mtukana Ask Pengo na kuanzia hapo tukamwona hafai kwa sababu "alimtukana" au aliongea alichoamini kuhusiana na Askofu Pengo tunakosea sana. Tuangalie hoja zake peke yake. dini, imani na itikadi zetu zisiathiri jambo hili.
- Swali kuu na neno la Imani katika Mfungo huu wa Kwarezima. JE ANACHONGEA GWAJIMA NI UONGO? THIBITISHA UONGO WAKE/ASHTAKIWE HARAKA KWA KUPOTOSHA UMMA WA WATANZANIA.
Mchungaji gani anatembea na wake za watu na kuaribu ndoa? arafu eti wafuasi wake wanaenda kufunga pingu za maisha kwake,tafakalini!
Masanja mkandamizaji...nayeye ndio nao nao "wajasiria-dini"Gwajima siyo mchungaji wala askofu bali ni MJASIRIA DINI TU.
Pole pole mtamuelewa tu.Bahati mbaya, sijawahi kujua kwamba Gajima ni mwana siasa ama dini..!?
Atasubiri sana.....Pole pole mtamuelewa tu.