Mchungaji Gwajima ni nani? Tukianzia hapa Tutajua namna ya Kudeal na watu aina yake

Mchungaji Gwajima ni nani? Tukianzia hapa Tutajua namna ya Kudeal na watu aina yake

Gwajima ni mpuuzi mmoja anayewaburuza watu wasiojitambua.
 
Mchungaji anatuma jini liende kwa mtu alafu bado mnaenda kanisani kwake kweli tz tunahitaji ukombozi wa kifikra
 
Mchungaji gani anatembea na wake za watu na kuaribu ndoa? arafu eti wafuasi wake wanaenda kufunga pingu za maisha kwake,tafakalini!
Na wewe ulisomea shule gani? Ya kibashite nini.Jaribuni kuandika Kiswahili ulimi unachokubali.Mna tuboa jamani.
 
Ambalo nina hakika nalo ni kuwa yeye ni katika manabii wa uongo ambaye kutokana kondoo kuwa wengi mjini amewakusanya na kuwakamua kidgokidogo.
.... Kama ambavyo inawezekana hata wewe upo hapa kiujanja janja, kifisadi na hata mengi tuu mabaya yasiyompendeza mola wetu, ni rahisi sana kusema yule yuko hivi na vile kwa sababu wewe huonekani..
Gwajima siyo mchungaji wala askofu bali ni MJASIRIA DINI TU.
 
Lofa wewe. Mnajaza server tu. Mmegeuka makasuku kwa kukariri.
Lofa wewe. Mnajaza server tu. Mmegeuka makasuku kwa kukariri.
Mwambie basha wako Bashite awasilishe vyeti' choko wewe or else tafuta mabwana wenye vyeti halisi ili uache kutetea mabasha wako ambao ni fraud!!!

Na mabashite wote na mabasha wenu lazima muipate mwaka huu; kijibwa koko cha Bashite wewe!!!
 
Gwajima ni kaa la moto lisilozimwa kizembe mi namjua fika
 
Mwambie basha wako Bashite awasilishe vyeti' choko wewe or else tafuta mabwana wenye vyeti halisi ili uache kutetea mabasha wako ambao ni fraud!!!

Na mabashite wote na mabasha wenu lazima muipate mwaka huu; kijibwa koko cha Bashite wewe!!!
Wewe ni taahira. I rest my case
 
1.Gwajima ni Mchungaji wa Kondoo wa mungu....
2.Ana Vyeti vya Daudi... (sio Daudi wa Goliath....namzingumzia wa Kolomije-Misungwi)
3.Yeye akiongea na watoto wake..... viongozi hukimbilia makanisa mengine kulia.
4.Ana Helkopta
5.Anategemea kununua ndege
Ha ha ha! Umeuwa
 
Askofu na Mchungaji Gwajima amekuwa moja ya watu maarufu na gumzo kubwa sana nchini. aina hii ya watu wapo duniani kote kwa Dini au Imani zote. Mtu wa namna hii unapoanza naye vita unapaswa kwanza kujichunguza. kuchukua muda mrefu kujichunguza wewe kwanza kabla hujaanza kumchunguza yeye na kuangalia udhaifu wake.

Tumemuona mara kadhaa Gwajima akisimama kuzungumza anachoamini pasipo kuuma uma maneno. Tumwona akimsema Laiyekuwa Rais wa Awamu iliyopita, tulimwona akisema Serikali iyopita kwa Ujasiri na kupelekea kupata matatizo kadhaa. Hakuishia hapo tu. aliwasema hata Viongozi wengine ambao aliamini walikengeuka kwa sababu moja au nyingine pasipo hofu kuwa nao wana jamii kubwa na yenye nguvu nyuma yao. Miaka ya nyuma alikuwepo Mchungaji Mtikila. huyu alikuwa na Roho hii pia miaka hiyo. alizungumza alichoamini pasipo kujali jamii kubwa inayomzunguka ina aamini nini.

Kuna haja ya Kujua Mchungaji Gwajima ni nani? ametokea wapi, ameishi katika mazingira gani, anaamini nini, ana elimu gani na kwa nini anajiamini.

tukifaham historia ya gwajima tutajiuliza ni kwa nini alitajwa kwenye uhusika wa kuuza au kujihusisha na madawa ya kulevya? alijiamini nini kusema kuwa akipimwa hata akikutwa ana kemikali za sigara/tumbaku au pombe iitwe ni madawa ya kulevya? wakati wa kupimwa walikuwepo akina nani?

habari zote kuwahusu viongozi mbalimbali au data zao na ujasili alio nao anaupata wapi? watu wa namna hii huongea yale ambayo wengine hawawezi kuongea. huamini kuwa wao ni chachu katika jamii fulani kwa maana ya kuwa wana mchango mkubwa sana. Ukienda kanisani kwa Gwajiama ana waumini wasomi, wasio na elimu dunia kubwa, walio na elimu dunia kubwa,matajiri na maskini. ukiacha waumini wa kanisani kwake. kuna ambao si waumini wa imani yake ila ni watu wanaoamini msimamo wake. na msimamo wa gwajima ni msimamo wa nyundo. hii ni karba au hulka ya watu ambao wao huamini katika kugonga kila amabcho kitakuwa kimewekwa chini yao. gwajima ni nyundo.

Gwajima huwezi ku dela naye kwa vitisho. unahitaji ku deal naye kwa hekima sana na maarifa. unapomtisha yeye huongeza mapambano. huyu ni aina ya watu ambao unaweza ukadhani ni wadogo sana lakini wana ushawishi fulan katika jamii. penda usipende wapo watu wa namna hii.

  1. TUSIMPENDE AU KUMCHUKIA Gwajima kwa sababu Alipishana na Askofu Pengo. Kuna ambao wanaendeleza chuki/unazi kutokana na hili. Askofu Pengo ni binadamu kama mimi na wewe ukiniweka mimi na yeye mbele za Mungu tu binadamu wote sawa. Labda ambacho kitamwongezea Credit ya Kupata Zawadi kubwa au Adhabu kubwa ni Je aliokoa au kupotosha wangapi? ila kama alizini atahukumiwa, kama alisema uongo atahukumiwa, kama alikuwa mnafiki atahukumiwa. hivyo hivyo kwa Gwajima. naye akisimamishwa na mimi ataangaliwa Ameokoa au Kupoteza wangapi..
  2. Tunapomwangalia Gwajima kwa kusema aliwah mtukana Ask Pengo na kuanzia hapo tukamwona hafai kwa sababu "alimtukana" au aliongea alichoamini kuhusiana na Askofu Pengo tunakosea sana. Tuangalie hoja zake peke yake. dini, imani na itikadi zetu zisiathiri jambo hili.
  3. Swali kuu na neno la Imani katika Mfungo huu wa Kwarezima. JE ANACHONGEA GWAJIMA NI UONGO? THIBITISHA UONGO WAKE/ASHTAKIWE HARAKA KWA KUPOTOSHA UMMA WA WATANZANIA.
Gwajima! He is selling hope to the hopeless. NO hopeful man would follow such a person.
 
Ktk wanadamu hakuna anayeweza kujua ndani ya mwingine anayejua hayo ni mungu aliyemuumba gwajima
 
1.Gwajima ni Mchungaji wa Kondoo wa mungu....
2.Ana Vyeti vya Daudi... (sio Daudi wa Goliath....namzingumzia wa Kolomije-Misungwi)
3.Yeye akiongea na watoto wake..... viongozi hukimbilia makanisa mengine kulia.
4.Ana Helkopta
5.Anategemea kununua ndege
Ongeza:
6. Hajengi Shule
7. Hajengi Hospitali
8. Anajinufaisha yeye badala ya jamii
 
Hana lolote jipya. Kama yeye ni mchungaji kweli kweli, alipaswa kuanzisha issue za vyeti vya Makonda tangu alipoteuliwa kuwa RC.
Mchungaji HALISI anapaswa kukemea maovu muda wote, siyo anasubiri atajwe kwenye madawa ya kulevya ndiyo aanze kuuhadaa umma wa Tanzania kwa vigezo visivyo na kichwa wala miguu.
Je, uchungaji wake ni wa namna gani huo?
Kwa maoni yangu mimi huu ni usanii tu uliotengenezwa kwa lengo la kuficha maovu halisi.
Nauliza tena, kama yeye ni mchungaji kweli, alikuwa wapi siku zote kutueleza juu ya vyeti vya Makonda?
WATANZANIA WENZANGU, KUWENI MAKINI NA SANAA ZA MTINDO HUU,VINGINEVYO TUTACHEZEWA SANA NA MICHEZO YA KUIGIZA KAMA HUU WA SASA.
 
Samahani kama nakosea, lakini kuuliza si ujinga. Au siyo? Hivi huwa wanamaanisha wanaposema kwamba Gwajima anafufua watu na amefufua watu zaidi ya 200 (nimesoma hapa)? Kwamba watu wanafufuka kwa maana ya mtu aliyekufa, akazikwa, anafufuliwa physically kutoka kwenye uozo na kuwa mtu hai? Hiyo process huwa ikoje pale kanisani? Ina maana kanisani kwa Gwajima huwa kuna majeneza yanapelekwa pale na zombies wanaibuka? Enh? Kweli Dunia hii ujinga ni mtaji mkubwa sana. Wahenga nao, eti wajinga ndio waliwao.
 
Ndugu uko nje kabisa ya Yale yanayojadiliwa hapa. Hakuna correlation kati ya yale anayofanya biSHOP Gwaji na yale yaliyotendwa na hao Mitume na Manabii uliowataja, to make matters worse umemwingiza na Jesus Christ. Pole ndugu.

Ndiyo maana mjadala huu ni mgumu kwako.
Kaa pembeni
 
Back
Top Bottom