PostGE2025 Mchungaji Hananja alimponda Askofu Gwajima kuwa anatukana Matusi madhabahuni, leo mwanaye kapigwa risasi

PostGE2025 Mchungaji Hananja alimponda Askofu Gwajima kuwa anatukana Matusi madhabahuni, leo mwanaye kapigwa risasi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Nimeshanga sana kusikia kuwa Mch Hananja ana mwanae anayesoma Udsm. Alipigwa risasi Mgongoni na ana jeraha kubwa.

Huko nyuma alimtakia
Askofu Gwajima kuwa aache matusi madhabahuni. Kisa tu anakemea utekaji na maovu.

Hapa tunajifunza nini? Tusitetee maovu.
What goes around comes around!
Usitukane mamba hujavuka mto!
Asiyesikia la mkuu, huvunjika guu!
Mdomo ulimponza kichwa!
............waswahili tuna mengi!!
 
Back
Top Bottom