Mchungaji Hananja: Kiongozi wa dini acha kuleta taharuki lete suluhu, tuonyeshe hilo kundi kwa ushahidi hawa ndiyo wanateka

Yuko upande wa raia au watekaji?
 
" Watu hawaheshimu katiba wanataka kuvunja Amani ya nchi na ndio maana wanaropoka hovyo hovyo nyie chukulieni masihara vita ni kitu chengine kukitokea vita hapa wote tutafutana ,ufike hatua tutunze Amani yetu",alisema Hananja.

hananja hanaga akili, ni mchumia tumbo, ndio maana hata kkkt walimfukuza kazi. ni motivational speaker ambaye hata huwa sielewi wanaomkaribisha kuongea wanatafuta nini kwake kwa sababu ni mchekeshaji, sio mchungaji na yupo hivyo kwa sababu anatafuta maisha, hajui kuwa kama haki kanisa la gwajima zimevunja, kuna siku hata yeye charrity yake itavunjiwa haki pia, ana organisation anasema ya kusaidia watu ila ni mtu fulani wa pwani mwenye maneno meengi yasiyo na maana anayoongea alimradi ili apate kuweka mkono kimyani.
 
Huyo Mzee moja hamnazo. Hapo amepangwa aje aongee ujinga hapo kwa kivuli cha dini na kwa ujira mdogo.
Anaonekana haoni kabisa utekaji na anaona sawa tu.
Mpumbavu huwezi kumwelimisha chochote akakuelewa.
 
Usiuamini mtu hata mzazi wako
Nimemfahamu Hananja kwa muda mrefu sana na ni mfuatiliaji wa mahubiri yake na nmkubali LKN KWA LEO KAINGIZWA CHOO CHA KIKE, Ni bora angenyamaza tu na sio kujifedhehesha japo huenda kanjaa nako kamechangia maana siku hizi sadaka anazisikia tu redioni
 
Ni wa Kanisa gani huyu?
 
Ukiwa na umli wa ujana huwezi kuelewa unachoelekezwa kikiwa kinapingana namisimamo yako hata kama misimamo yako niyakimwehu. Ila ukikuwa utamulewa
 
" Watu hawaheshimu katiba wanataka kuvunja Amani ya nchi na ndio maana wanaropoka hovyo hovyo nyie chukulieni masihara vita ni kitu chengine kukitokea vita hapa wote tutafutana ,ufike hatua tutunze Amani yetu",alisema Hananja.

GWAJIMA kajibu kua ""usukumani tumefundiashwa kutowapiga watu wa aina tatu guess what..

a) mgonjwa

b) mlevi

C) mzee

Kwa mujibu wa mchungaji GWAJIMA mchungaji HANANJA ana vyote vitatu hivyo hawezi kupigana nae/ kujibishana nae HANANJA ni MZEE, MLEVI NA MGONJWA.

Mimi naongezea Hawa watu usipigane nao WAZEE,WAGONJWA,WALEVI NA WANAWAKE.
 
Nimemfahamu Hananja kwa muda mrefu sana na ni mfuatiliaji wa mahubiri yake na nmkubali LKN KWA LEO KAINGIZWA CHOO CHA KIKE, Ni bora angenyamaza tu na sio kujifedhehesha japo huenda kanjaa nako kamechangia maana siku hizi sadaka anazisikia tu redioni
Mimi pia nimemshusha vyeo kwenye HILI.
 
Back
Top Bottom