Mchungaji Hananja: Kiongozi wa dini acha kuleta taharuki lete suluhu, tuonyeshe hilo kundi kwa ushahidi hawa ndiyo wanateka

Mchungaji Hananja: Kiongozi wa dini acha kuleta taharuki lete suluhu, tuonyeshe hilo kundi kwa ushahidi hawa ndiyo wanateka

Hii ni video ya April 10 ,2017

Bashe analiomba bunge lijadili jambo la dharura kuhusu utekaji

Yeye pia akiwa amepewa taarifa yuko katika list ya wabunge 11 ambao wanapagwa kutekwa .

Ametoa list ya waliotekwa tayari na hakuna taarifa wala uchunguzi kuhusu utekaji.

Ameelezea "kuna kikundi" ambacho kinatekeleza huu ushenzi na hawaguswi

Tulia akapoteza mada ya utekaji kama kawaida yake .

Sugu anaelezea kauli ile ile ya polisi kuwa hatujui "uchunguzi unaendelea" na waziri wa mambo ya ndani yuko kimya.

Miaka 8 mbele tena yanaedelea yaleyale na eti hatuna majibu.

Bado tunataka kusema hatuwajui watekaji?

Huyo mchungaji akae afahamu utekaji hauna rangi ,dini, chama , kabila wala wajihi , atakapoikiwa au ndugu zake ndio ataelewa.



View: https://youtu.be/Y0Y24wdT9OI?si=EUBByxSIpYeTudHz
 
Nimemfahamu Hananja kwa muda mrefu sana na ni mfuatiliaji wa mahubiri yake na nmkubali LKN KWA LEO KAINGIZWA CHOO CHA KIKE, Ni bora angenyamaza tu na sio kujifedhehesha japo huenda kanjaa nako kamechangia maana siku hizi sadaka anazisikia tu redioni
Kwa hiyo we kila mwenye mtazamo tofauti na wa kwako ameingia choo cha kike?
 
Back
Top Bottom