PostGE2025 Mchungaji Hananja: Unadai maiti, maiti itoke wapi? Nenda kadai Congo

PostGE2025 Mchungaji Hananja: Unadai maiti, maiti itoke wapi? Nenda kadai Congo

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Unakuta hapo kanisani kuna muumini naye hajapata maiti ya nduguye!!

Tunahitaji akina Saidi Mwamwindi wengi kizazi hiki.
 
Mmeuwa watu elfu 23 plus,unakibuli gani cha kuongea hivyo??,mmezika miili ya wapendwa wetu kama kuku waliokufa na kideli,bado mkawanyima watu kuzika miili ya wapendwa wao,mkapola uchaguzi,bado mnateka,mnabaka,mnalawiti,mnafira na mnauwa,hivi nyinyi ni wanyama au majini??
 
Haka kajamaa ka hovyo sana ipo siku katatembelewa na watanganyika kaka salimiwe
 
Ahhh kumbe walipeleka kufukia huko congo? Siku zinakuja halitasalia jiwe juu ya jiwe.
 
Mchungaji Hananja amesema watanzania wanaodai maiti za ndugu zao waende wakadai Congo maana Tanzania hizo maiti hazipo.
View attachment 3512780

Kodi zetu zinawafanya hawa wawe na jeuri, wendawazimu wanazolipwa na Samia, Abdul. Tukiwaondoa Abdul. Samia, Kikwete, hawa chawa wataomba poa.

Tuanze kuwaondoa wanaowalipa kutumia kodi, rasilimali zetu.
 
Halafu tunalaumiwa waislam kwamba hatukusoma, huyu katokea wapi? Wakiristo leteni jibu hapa
Wewe nawe fala kama huyu Hananja tu, kwani alikuwa anaongea kwa niaba ya Wakriso au ni tumbo lake tu linamtoa akili ? Huyo alishafukuzwa siku nyingi kwenye Uchungaji sasa ni chawa tu kama walivyo mwashambwa wengine. Punguza chuki kwa Ukristo .
 
Back
Top Bottom