PostGE2025 Mchungaji Hananja: Unadai maiti, maiti itoke wapi? Nenda kadai Congo

PostGE2025 Mchungaji Hananja: Unadai maiti, maiti itoke wapi? Nenda kadai Congo

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mchungaji Hananja amesema watanzania wanaodai maiti za ndugu zao waende wakadai Congo maana Tanzania hizo maiti hazipo.
View attachment 3512780
Hakuna sababubya kutengeneza uadui na jamii eti kisa utawala , utawala utapita lakini jamii otaendelea kubaki karne na karne, simama na jamii na sio watawala, watawala wanapita tuu, wengi hawaelewi hilo
 
Watanzania wanazidi kuchanganyikiwa naona. Uchungu alio usemea Hananja kwenye mwendelezo wa clip hii nauona wazi.

Kimsingi Mchungaji hajaongea kitu kibaya ukiangalia clip halisi full 9min , ametoa ushauri wa kawaida tu kwa serikali na wananchi kuepuka vita. Maana ikitokea vita yenyewe hasa, hata maiti hutaweza kudai, mfano ndo huko Congo sasa '..utadai maiti kwa M23?'

Sasa kosa lake liko wapi hapo? Pengine aliyekata hiko kakipande kamaanisha ku mislead watu.
 
Back
Top Bottom