Watanzania wanazidi kuchanganyikiwa naona. Uchungu alio usemea Hananja kwenye mwendelezo wa clip hii nauona wazi.
Kimsingi Mchungaji hajaongea kitu kibaya ukiangalia clip halisi full 9min , ametoa ushauri wa kawaida tu kwa serikali na wananchi kuepuka vita. Maana ikitokea vita yenyewe hasa, hata maiti hutaweza kudai, mfano ndo huko Congo sasa '..utadai maiti kwa M23?'
Sasa kosa lake liko wapi hapo? Pengine aliyekata hiko kakipande kamaanisha ku mislead watu.