Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,451
Wahubiri wengi wanajua yawapasayo kufanya ila utendaji sasa ndo mtihani.
Ukisikiliza mahubiri ya Kakobe yalivyojaa makaripio utasema yes huyu ndiye malaika wa mwisho aliyetumwa na Mungu kuionya dunia...
Utumishi wa mtu yeyote haupimwi kwa miujiza, kiasi cha waumini au mahubiri yake.Ila kweli
Kwani huyo mtoto wa dada yake hana mama na baba au wao kazi zao ni kunyanduana na kuzaa na kutupia wengine walee na kusomesha?Wahubiri wengi wanajua yawapasayo kufanya ila utendaji sasa ndo mtihani...
Kwani huyo mtoto wa dada yake hana mama na baba au wao kazi zao ni kunyanduana na kuzaa na kutupia wengine walee na kusomesha?
Wahubiri wengi wanajua yawapasayo kufanya ila utendaji sasa ndo mtihani.
Ukisikiliza mahubiri ya Kakobe yalivyojaa makaripio utasema yes huyu ndiye malaika wa mwisho aliyetumwa na Mungu kuionya dunia...
Kwa kweli Kakobe sijui alikengeuka wapi, jamaa ni bonge la mhubiri, anapiga gombo balaa ila sasa matendo yake ndio yana walakini wa kumtoa kwenye utumishi.Wahubiri wengi wanajua yawapasayo kufanya ila utendaji sasa ndo mtihani...
Nisamehe kama nimekukwazaAndiko lako limeuchoma moyo wangu sana sana.
Ninamfahamu Kakobe nafahamu maisha yake lakini andiko lako limenigusa mimi kuliko unavyodhani.
namuomba Mungu anipe unyenyekevu
Kila mtu ashinde mechi zake.Unadhan maamrisho yanavyosema toeni katika aliyowaruzuku Mola wenu yanamaanisha nini? Maamrisho ya kulisha masikini, kutoa zaka , na kulisha yatima ni kwa ajili gani?
Kwa ulichokiandika ina maana kila ukipatacho utumie peke yako, huo ni ubinafsi na sio Mungu anavyotaka tuishi.
Naimani hata hyo kazi uliyonayo unamtegemea mtu mwingine, acha kukimbilia maneno ya ovyo kwa nini dada azae ikiwa hana uwezo
MkuuNisamehe kama nimekukwaza
Haya maandiko uliyowaatacch ni mazitoMkuu
Hapana ni kwamba nimeangalia umesema ukweli mchungu sana.
Kinachoendelea kwenye madhabahu leo ndicho Yesu alichokikataa. Ukisoma maandiko utaona ninachokiongea. Wewe umeandika, mimi nimefunuliwa
Mathayo 24:3
Hata alipokuwa ameketi katika mlima wa Mizeituni, wanafunzi wake wakamwendea kwa faragha, wakisema, Tuambie, mambo hayo yatakuwa lini? Nayo ni nini dalili ya kuja kwako, na ya mwisho wa dunia?
Mathayo 24:4
Yesu akajibu, akawaambia, Angalieni, mtu asiwadanganye.
Mathayo 24:5
Kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ni Kristo; nao watadanganya wengi.
Mathayo 24:6
Nanyi mtasikia habari za vita na matetesi ya vita; angalieni, msitishwe; maana hayo hayana budi kutukia; lakini ule mwisho bado.
Mathayo 24:10
Ndipo wengi watakapojikwaa, nao watasalitiana, na kuchukiana.
Mathayo 24:11
Na manabii wengi wa uongo watatokea, na kudanganya wengi.
Mathayo 24:12
Na kwa sababu ya kuongezeka maasi, upendo wa wengi utapoa.
Mathayo 24:15
Basi hapo mtakapoliona chukizo la uharibifu, lile lililonenwa na nabii Danieli, limesimama katika patakatifu (asomaye na afahamu),
Kwa nini mnakerwa na watumishi kuwa na Mali? Nini maono yenu mnataka wawe maskini? Ayubu alikuwa tajiri na suleman alikuwa tajiri mchungaji hajakuzuia wewe kuwa na Mali tafuta utapata wakiwa maskini bado hamtasaidia kitu ,unaenda kanisani ukiwa maskini Ili ukasaidiwe au unaenda kukua kiroho ? Acheni mijadala ya kipumbavuUtumishi wa mtu yeyote haupimwi kwa miujiza, kiasi cha waumini au mahubiri yake.
Pima matendo ya upendo.
Haiwezekani mchungaji unamiliki private jet ya mabilioni huku kanisa lako kuna watu wanatoa sadaka sh. Elfu 10 ya kujimaliza ili wavute muujiza wa kupata kazi.
Love.
Upendo.
Hiki ndicho kipimo mujarabu.
Kuna watu kanisani kwako wanaishi kwa mlo mmoja na wewe unanena kwa lugha huku benki una bilioni moja.
No.no.no