Mchungaji kanisa la Wasabato Kahama afukuzwa

Mchungaji kanisa la Wasabato Kahama afukuzwa

Mtoa mada, dini na siasa ni vitu viwili tofauti, mchungaji akionewa katika utumishi hawezi kutetewa na siasa bali ni rehema za mwenyezi tu ndiyo zitamrudishia uongozi.

pole sana
 
Mchungaji wa kanisa gani? Jina la kanisa ama mtaa?

Umemwelezea vyema kutokea kwenye habari mama:

IMG_20230513_034019.jpg



kipara kipya utambulisho wake kamili hili hapa.

Msema kweli mpenzi wa Mungu.
 
Mtoa mada, dini na siasa ni vitu viwili tofauti, mchungaji akionewa katika utumishi hawezi kutetewa na siasa bali ni rehema za mwenyezi tu ndiyo zitamrudishia uongozi.

pole sana

Hakuna ambapo siasa imetakiwa kumtetea mchungaji.

Mchungaji kaonewa anashauriwa afanye nini. Ni Ushauri tu.

Msema kweli mpenzi wa Mungu. Akiufuata ushauri atajishukuru baadaye.
 
TAKUKURU na kanisa wapi na wapi? Huyo flying eagle ndege mbona mnamsema tofauti na yaliyobainika? Mkewe mchungaji kuiba dawa inakuja habari ya kuunganishwa na kanisa je ukiwa TAKUKURU uruhusiwi kuabudu kakisani? Na je ikitokea OP uruhusiwi kushiriki? Think big mkuu ukiona huelewi njoo pm

Unaye changanya mambo ni wewe.

Hupendi mchungaji mhanga kujaribu kutafuta haki zake kutokea kwa mawakili huru?

Yeye alikuwa mwajiriwa. Kafukuzwa kazi. Hupendi ajipiganie Kwa mujibu wa sheria Ili haki yake kama ipo apate?

Think big mkuu hakipo kisichoeleweka. Huu ni ushauri wa tu Kwa mchungaji huyu.
 
Ama ni nyasubi SDA?

Unapiga mule mule. Tuonane Nyasubi kwa SS asubuhi leo kwa taarifa zaidi.

 
Msema kweli mpenzi wa Mungu mtaje huyo mtakukuru!


IMG_20230513_034019.jpg


Bado unataka na ubini?
 

View attachment 2619749

Bado unataka na ubini?
Ni bwana Aeroplane/birds.
 
Ndiomana ilishauriwa Wachungaji na Wake zao wawe WALAWI!!!Lakini sikuhizi wengi wamejikita ktk Biashara au wake zao kuajiriwa.
SDA Wote hawaruhusiwi kujihusisha na mambo ya siasa, uongozi wala kitu chochote kinachohusu mambo ambayo ni vigumu kuepuka dhambi... kama kwel huyo mchungaji kajitakia mwenyewe
 
Back
Top Bottom