Mchungaji kanisa la Wasabato Kahama afukuzwa

Mtoa mada, dini na siasa ni vitu viwili tofauti, mchungaji akionewa katika utumishi hawezi kutetewa na siasa bali ni rehema za mwenyezi tu ndiyo zitamrudishia uongozi.

pole sana
 
Yamalizeni huko huko kanisani ..kuna uongoz huko kuliko kuyaleta humu..ili umfaidishe nani..mxiew
Ushauri kwa mtu si lazima umfurahishe kila mtu. Ndiyo maana kuna miziki na kina diamond pia.
 
Mchungaji wa kanisa gani? Jina la kanisa ama mtaa?

Umemwelezea vyema kutokea kwenye habari mama:




kipara kipya utambulisho wake kamili hili hapa.

Msema kweli mpenzi wa Mungu.
 
Mtoa mada, dini na siasa ni vitu viwili tofauti, mchungaji akionewa katika utumishi hawezi kutetewa na siasa bali ni rehema za mwenyezi tu ndiyo zitamrudishia uongozi.

pole sana

Hakuna ambapo siasa imetakiwa kumtetea mchungaji.

Mchungaji kaonewa anashauriwa afanye nini. Ni Ushauri tu.

Msema kweli mpenzi wa Mungu. Akiufuata ushauri atajishukuru baadaye.
 

Unaye changanya mambo ni wewe.

Hupendi mchungaji mhanga kujaribu kutafuta haki zake kutokea kwa mawakili huru?

Yeye alikuwa mwajiriwa. Kafukuzwa kazi. Hupendi ajipiganie Kwa mujibu wa sheria Ili haki yake kama ipo apate?

Think big mkuu hakipo kisichoeleweka. Huu ni ushauri wa tu Kwa mchungaji huyu.
 
Ama ni nyasubi SDA?

Unapiga mule mule. Tuonane Nyasubi kwa SS asubuhi leo kwa taarifa zaidi.

 
Msema kweli mpenzi wa Mungu mtaje huyo mtakukuru!




Bado unataka na ubini?
 
Ni bwana Aeroplane/birds.
 
Ndiomana ilishauriwa Wachungaji na Wake zao wawe WALAWI!!!Lakini sikuhizi wengi wamejikita ktk Biashara au wake zao kuajiriwa.
SDA Wote hawaruhusiwi kujihusisha na mambo ya siasa, uongozi wala kitu chochote kinachohusu mambo ambayo ni vigumu kuepuka dhambi... kama kwel huyo mchungaji kajitakia mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…