Mchungaji Kimaro: Viongozi makini hawahitaji Chawa wa kuwasifiasifia bali wanawapenda wakosoaji wanaowaambia ukweli ili wajiimarishe

Wapi pameandikwa kupinga kila kitu,
Awamu ya tano ilipofunga maduka ya fedha za kigeni, kuzuia safari nje, mlisifia sana,
Imekuja ya mama samia kuanza safari za nje mmesifia nchi inafunguka, huoni huu ndo uchawa anaosema kimaro, sifia sifia ya kujali matumbo, Akili zimehamia tumboni ubongo haufanyi kazi.
 
Pastor has had his observation and he isn't a horizon by his opinion or rather caution, basically we are all entitled to the same right to air our opinions. I truly thank you this Hon.pastor for fronting this. Aikambe 🙏🙏🙏
 
Kimaro has a Point, ila the fact that Miaka michache nyuma alikuwa Chawa wa Mwendakuzimu Jiwe, inamuondolea udhu wa kusema anayoyasema.
 
Nani alisifia Sana.
 
Mchungaji anatakiwa akumbuke kuwa kitaa ni kigumu sana ndio maana hata wazee kama akina Wasira hawataki kustaafu siasa, wanakaba hadi dakika ya mwisho.
Nyerere aliwaita chawa kama malaya; na alijionea toka enzi akiwapo kuna majitu yalikuwa na tabia za kimalaya-malaya ili yapate kitu kidogo.

Kama kuna mahali taifa hili limekwama ni wakubwa kuwasikiza chawa, imagine hata wafanyabishara nao wamezungukwa na chawa, kuwafikia bila endorsement ya chawa, hutoboi.

Wachungaji wazidishe maombi ili roho wachafu wanaotumia chawa watoke ili viongozi wafanya maamuzi kwa kumtanguliza Mungu na maslahi ya watu wanaowaongoza.
 
Ni Chawa kila kona
 
Chawa wa promax mwimba mapambio
 
Kimaro aache unafiki, ametoka kwenye misingi ya neno la Mungu sasa anaangalia popularity. Enzi za Mwendazake alikua akisifia kila kitu
Acha uchawa wewe kimaro alimchana Jiwe Ikulu wakati alipowaalika viongozi wa Dini akamwambie awape wengine nafasi ya kufanya siasa Nchi ipumue ,
Wee chawa Wa Lumumba acha ku tumia Akili yako kinyume Cha maumbile mpyuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…