MANG'ONYI
JF-Expert Member
- Jun 14, 2013
- 403
- 342
Wapi pameandikwa kupinga kila kitu,Kwani yeye amekatazwa kuwa Chawa?
Harafu hii mentality ya kipumbavu imetoka wapi kwamba kuwa kiongozi au mpinzani mzuri lazima uwe unakosoa na kupinga kila kitu?
Mwisho anaefanya vizuri ndio husifiwa,na ni upumbavu kudhani kila anaemsifia kiongozi ni Chawa.
Awamu ya tano ilipofunga maduka ya fedha za kigeni, kuzuia safari nje, mlisifia sana,
Imekuja ya mama samia kuanza safari za nje mmesifia nchi inafunguka, huoni huu ndo uchawa anaosema kimaro, sifia sifia ya kujali matumbo, Akili zimehamia tumboni ubongo haufanyi kazi.