Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Steven Kimondo, akiongea na waandishi wa habari jijini Mbeya jana, amehoji na kashangazwa na tangazo la kuzuia mikutano kwa vyama vya siasa wakati huo viongozi wa ngazi za juu wa serikali, akiwemo Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba, wameonekana wakiendelea kufanya mikutano ya hadhara mikoani na kuhutubia wananchi.
Pia soma
Pia soma
