Gentleman,Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Steven Kimondo, akiongea na waandishi wa habari jijini Mbeya jana, amehoji na kashangazwa na tangazo la kuzuia mikutano kwa vyama vya siasa wakati huo viongozi wa ngazi za juu wa serikali, akiwemo Waziri Mkuu, wameonekana wakiendelea kufanya mikutano ya hadhara mikoani na kuhutubia wananchi.
uko sahihi gentleman,Ibara ya 20(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Ibara hiyo inasema:
"Kila mtu anastahili kuwa huru, bila ya kuathiri sheria za nchi, kukutana na watu wengine kwa hiari yake na kwa amani, kuchanganyika na kushirikiana na watu wengine, kutoa mawazo hadharani..."
Hii ndiyo ibara inayotambuliwa kama msingi wa kikatiba wa uhuru wa kukusanyika na kuandamana kwa amani nchini Tanzania.
Gentleman..mtu akikosea utaratibu upoje? Unasemaje wale wanaotenda vema nao wasifanye mikutano?uko sahihi gentleman,
lakini sio uhuru wa kuathiri hizo sheria kwa kuporomosha matusi, kuropoka mambo ya uongo na uzushi dhidi ya wengine, huku ukichochea vitendo vya chuki, uhasama, vurugu na uharibifu dhidi ya wasiohusika na porojo au mihemko yako binafsi na ya chama chako cha siasa.
ni vema zaidi kufahamu haya gentleman
Gentleman,Gentleman..mtu akikosea utaratibu upoje? Unasemaje wale wanaotenda vema nao wasifanye mikutano?