Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Haha hahaKwa mama mchungaji jimbo lipo wazi.
Mpaka tume itangaze trh,lakn mama mchungj n pisi kaliKwa hiyo mama mchungaji jimbo lipo wazi?
Na safari zake za Nigeria kila wakati, tutaonyeshwa mambo wakati huuHiyo pete alivyoivaa ....
Umeona ehhKuna watu wanafaidi dunia Hii
Ina maana Mchungaji anamuona aliyeandika mstari huo kuwa boya tu?Mambo ya Walawi 19:28
[28]Msichanje chale yo yote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala msiandike alama miilini mwenu; mimi ndimi BWANA.[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Zaidi ya mchungajiDaah huyu ndio mchungaji ? Sijui kondoo wachungwao wanafananaje