Mchungaji Lusekelo: Kwa mujibu wa Biblia mkuu wa nchi akishaongea mjadala unafungwa, hao wanaohoji baadae ni wavuta bangi

Si ni huyu huyu alijengewa barabara ya rami mpaka kanisani kwake? Pia si ni huyu huyu mzee wa bapa? What else could he say, or what would you expect from such a....... ,niishie hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchungaji wa wajinga.
 
Lusekelo ,Gwajima. ,Nabii Titto , na mwamposa bila kumsahau shekh kishiki wote hawa wapigaji.
 
Huyu si ndio yule aliyelewa viroba chakari hivi bado anahubiri kweli. Shetani ni hatari sana.
 
Lusekelo ongea kwa mujibu wa biblia Ni wapi Hilo andiko.tulikuwa na nduli Iddi Amin ina maana tuliokwenda kumpiga tulifanya kosa kwa vile Ni mkuu wa nchi.mkuu wa nchi akisema huyu auawe basi Ni sawa,Mungu anakuona.mkuu wa nchi Ni mtu tu na Hali Yaya Sasa si dhani Kama unalijua hili.mambo ya Kaisari mwachie Kaisari hubiri neno la Mungu.sipendi kukulaumu ila wewe unajua una maana gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…