Mchungaji Lusekelo: Libya na Iraq zinajuta kuwasaliti viongozi wao Gaddafi na Sadam Hussein, watanzania msifanye makosa mtajuta!

Mzee wa konyagi
 
Anazungumzia watanzania na " majuto ni mjukuu"
Kwani wananchi wakiamua kumpigia kura mgombea mwingine na kupelekea Magufuli kupoteza Urais ni kitendo cha kumsaliti kama alichofanyiwa Saddam Hussein au Muammar al-Gaddafi ?
 
Mimi yangu ya moyoni ni kama ifuatavyo
La kwanza hivi hata wanywa bapa nao kumbe wana uhuru wa kutoa maoni
La pili hivi bapa likipigwa marufuku huyu mzee si atakufa maana bapa mwilini mwake ni kama petrol kwenye gari
Na la mwisho lakini si kwa umuhimu usitufananishe na Libya na iraq kukipigia kura chama kingine na kuinyea ccm yenu si usaliti bali watu wanatekeleza haki yao ya msingi ya kumchagua kiongozi wanayemtaka bila kushinikizwa na mtu yoyote.Kwanini utake kuwafanya watz wapumbavu kwa kuwaaminisha wasipomchagua jiwe basi ni wasaliti.Mzee wa bapa aache upumbavu wako.
 
Uzuri hatuwezi kuwapa nchi waiongoze.

Hii kusema hili Mungu tayari katuepusha kwa hili.
 
Kaongezeka kwenye list.. Masanja hlf huyu mzee wa bapa.... bila kumsahau yule askari.. hv ni wa kule kwetu ee .. ile accent kama unagommbbbanaa
 
Inategemea na anachokiongea kina manufaa gani kwa jamii
 
Atueleze tume huru inatakiwe iweje
 
Mwambie asisahau kunywa kvant ili ahubiri vizuri
Mpuuzi...uyo...mpuzieni...
 
"Hilarry Clinton ndiye aliyeshinda kwa wingi wa kura lakini aliyeteuliwa kuwa Rais ni Donald Trump." ana uhakika na ii statement? au ndio ushabiki maandazi tu
 
mi nilisha mpuuza tangu zamani
 
Mzee wa bapa huyu hatumsikilize katu. Tunataka mabadiliko tumechoshwa na ubaguzi na ukabila.
 
Wanajisi wa Biblia, kwa hili Waislam wametushinda sana Wakristo. Hawana upuzi wa hizi religious rooting companies (Ministries ).

Mijitu inajipendekeza tu
Kwan wapi kasema uongo hapo
 
Hatutaki porojo wa wachumia tumbo kama huyo watu wanatekwa yuko kimya tu ukandamizaji wa uhuru wa watu yuko kimya tu hata hapa kama kuna udikteta bora tuwe kama hiyo Libya lakini tusitawaliwe na dikteta uchwara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…