Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Yaani sisi tufuate ushauri wa Lusekelo? Huyu huyu Lusekelo? Drunken master.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anazungumzia watanzania na " majuto ni mjukuu"Kwa hiyo amemuweka Magufuli kwenye kundi moja na Saddam Hussein wa Kuwait ? Au wa Iraq ?
Mzee wa konyagiMchungaji Anthony Lusekelo amewataka watanzania kutoiga iga mambo kwani demokrasia ina maana pana.
Mzee wa Upako amesema hata Marekani demokrasia wanayoihubiri hawaiishi kwa mfano Hilarry Clinton ndiye aliyeshinda kwa wingi wa kura lakini aliyeteuliwa kuwa Rais ni Donald Trump.
Kadhalika Uingereza Waziri mkuu anapigiwa kura lakini mfalme ndiye anayempitisha.
Lusekelo amewataka watanzania wajifunze Libya na Iraq waliotupa " mbachao" kwa msala upitao na sasa wanajuta.
Source Channel ten.
Maendeleo hayana vyama!
Alafu tuwape nchi mkayazungumze haya bungeni.Huyu boya anachunga nini, kondoo au konyagi?
Kwani wananchi wakiamua kumpigia kura mgombea mwingine na kupelekea Magufuli kupoteza Urais ni kitendo cha kumsaliti kama alichofanyiwa Saddam Hussein au Muammar al-Gaddafi ?Anazungumzia watanzania na " majuto ni mjukuu"
Unamzungumzia "Muammar Mohammed Abu Minyar al-Gaddafi". Hivi unazijua sifa za utawala wake!? Huyu wa kwenu fidia za bomoa bomoa aligoma kulipa.Yuko sahihi upande mmoja. Magufuli hana tofauti na Gadafi na Sadam.
Kaongezeka kwenye list.. Masanja hlf huyu mzee wa bapa.... bila kumsahau yule askari.. hv ni wa kule kwetu ee .. ile accent kama unagommbbbanaaZWAZWA jingine hilo nalo limeamua kusikika. MAZWAZWA haya yalikuwa kimya kabisa kuhusu maovu mbali mbali ya KICHAA ikiwemo bomoa bomoa, 2.7 trillions iliyokwapuliwa hazina, kutekwa kuteswa na hata kupotezwa kwa wasiojulikana, shambulizi la lissu, maiti kwenye viroba ufukweni, ubambikiaji kesi, sheria eti asishtakiwe kwa maovu yake na madudu mengine chungu nzima.
Atueleze tume huru inatakiwe iwejeMchungaji Anthony Lusekelo amewataka watanzania kutoiga iga mambo kwani demokrasia ina maana pana.
Mzee wa Upako amesema hata Marekani demokrasia wanayoihubiri hawaiishi kwa mfano Hilarry Clinton ndiye aliyeshinda kwa wingi wa kura lakini aliyeteuliwa kuwa Rais ni Donald Trump.
Kadhalika Uingereza Waziri mkuu anapigiwa kura lakini mfalme ndiye anayempitisha.
Lusekelo amewataka watanzania wajifunze Libya na Iraq waliotupa " mbachao" kwa msala upitao na sasa wanajuta.
Source Channel ten.
Maendeleo hayana vyama!
Mwambie asisahau kunywa kvant ili ahubiri vizuri
Mpuuzi...uyo...mpuzieni...Muulize huyo mtu wako
Anajua mfumo wa kura za Marekani ukoje???
Muulize pia ni Uingereza gani Waziri mkuu anapitishwa na Mfalme????
Mwisho muulize tutajuta nini??? Kwa hiyo yeye anamfananisha Magufuli na Saddam Hussein??? Anazijua sifa za Saddam Hussein??? Je anamfananisha Magufuli na Gaddafi??? Anazijua sifa za Gaddafi??? Ametumia vigezo gani kumfananisha Magufuli na hawa??? Au amekaririshwa tu??[emoji23][emoji23]
"Hilarry Clinton ndiye aliyeshinda kwa wingi wa kura lakini aliyeteuliwa kuwa Rais ni Donald Trump." ana uhakika na ii statement? au ndio ushabiki maandazi tuMchungaji Anthony Lusekelo ameHilarry Clinton ndiye aliyeshinda kwa wingi wa kura lakini aliyeteuliwa kuwa Rais ni Donald Trump.wataka watanzania kutoiga iga mambo kwani demokrasia ina maana pana.
Mzee wa Upako amesema hata Marekani demokrasia wanayoihubiri hawaiishi kwa mfano Hilarry Clinton ndiye aliyeshinda kwa wingi wa kura lakini aliyeteuliwa kuwa Rais ni Donald Trump.
Kadhalika Uingereza Waziri mkuu anapigiwa kura lakini mfalme ndiye anayempitisha.
Lusekelo amewataka watanzania wajifunze Libya na Iraq waliotupa " mbachao" kwa msala upitao na sasa wanajuta.
Source Channel ten.
Maendeleo hayana vyama!
mi nilisha mpuuza tangu zamaniZWAZWA jingine hilo nalo limeamua kusikika. MAZWAZWA haya yalikuwa kimya kabisa kuhusu maovu mbali mbali ya KICHAA ikiwemo bomoa bomoa, 2.7 trillions iliyokwapuliwa hazina, kutekwa kuteswa na hata kupotezwa kwa wasiojulikana, shambulizi la lissu, maiti kwenye viroba ufukweni, ubambikiaji kesi, sheria eti asishtakiwe kwa maovu yake na madudu mengine chungu nzima.
Hawa wakina sheikh alhadWanajisi wa Biblia, kwa hili Waislam wametushinda sana Wakristo. Hawana upuzi wa hizi religious rooting companies (Ministries ).
Mijitu inajipendekeza tu
Mzee wa bapa huyu hatumsikilize katu. Tunataka mabadiliko tumechoshwa na ubaguzi na ukabila.Mchungaji Anthony Lusekelo amewataka watanzania kutoiga iga mambo kwani demokrasia ina maana pana.
Mzee wa Upako amesema hata Marekani demokrasia wanayoihubiri hawaiishi kwa mfano Hilarry Clinton ndiye aliyeshinda kwa wingi wa kura lakini aliyeteuliwa kuwa Rais ni Donald Trump.
Kadhalika Uingereza Waziri mkuu anapigiwa kura lakini mfalme ndiye anayempitisha.
Lusekelo amewataka watanzania wajifunze Libya na Iraq waliotupa " mbachao" kwa msala upitao na sasa wanajuta.
Source Channel ten.
Maendeleo hayana vyama!
Kwan wapi kasema uongo hapoWanajisi wa Biblia, kwa hili Waislam wametushinda sana Wakristo. Hawana upuzi wa hizi religious rooting companies (Ministries ).
Mijitu inajipendekeza tu