mbona Malawi hawakujuta?
Yaani haoni kuwa wale viongozi ndio walisaliti wananchi wao, mfano Chemical Ali.Mchungaji Anthony Lusekelo amewataka watanzania kutoiga iga mambo kwani demokrasia ina maana pana.
Mzee wa Upako amesema hata Marekani demokrasia wanayoihubiri hawaiishi kwa mfano Hilarry Clinton ndiye aliyeshinda kwa wingi wa kura lakini aliyeteuliwa kuwa Rais ni Donald Trump.
Kadhalika Uingereza Waziri mkuu anapigiwa kura lakini mfalme ndiye anayempitisha.
Lusekelo amewataka watanzania wajifunze Libya na Iraq waliotupa " mbachao" kwa msala upitao na sasa wanajuta.
Source Channel ten.
Maendeleo hayana vyama!
Kweli kabisa..usipowaunganisha watu wako watashirikiana na adui zako kukumaliza.
Amani inapoteaje?,kwani si unafanyika uchaguzi wananchi wanapiga kura kumchagua wampendae.Wewe ya malawi hayakuhusu angalia nchi yako, amani ikipotea ndo wakwanza kufoka.
Amani inapoteaje?,kwani si unafanyika uchaguzi wananchi wanapiga kura kumchagua wampendae.
Au nyie ccm ndo mtaanzisha machafuko baada ya kupigwa chini?.
Afu unayo CV ya Mzee Wa upako kweli,ndio atushauri kweli?.
HakunaMagufuli ana kitu alichofanya cha kumlinganisha na uongozi wa gadafi
Thus watz wameungana na Lisu kupinga kusomeshwa nambaKweli kabisa..
Idi Amin Dada hakutambua hili, aliwagawa na kuwatesa wananchi wake, matokeo yake wakashirikiana na sisi Watanzania kumfurusha!
Muulize huyo mtu wako
Anajua mfumo wa kura za Marekani ukoje?
Muulize pia ni Uingereza gani Waziri mkuu anapitishwa na Mfalme?
Mwisho muulize tutajuta nini??? Kwa hiyo yeye anamfananisha Magufuli na Saddam Hussein??? Anazijua sifa za Saddam Hussein??? Je anamfananisha Magufuli na Gaddafi? Anazijua sifa za Gaddafi??? Ametumia vigezo gani kumfananisha Magufuli na hawa? Au amekaririshwa tu??[emoji23][emoji23]
Ni kweli, ngoja tuone kama ni kweli au la.Alikuwa akibwabwaja tu
Haya ni mavi ya kaleMchungaji Anthony Lusekelo amewataka Watanzania kutoiga iga mambo kwani demokrasia ina maana pana.
Mzee wa Upako amesema hata Marekani demokrasia wanayoihubiri hawaiishi kwa mfano Hilarry Clinton ndiye aliyeshinda kwa wingi wa kura lakini aliyeteuliwa kuwa Rais ni Donald Trump.
Kadhalika Uingereza Waziri Mkuu anapigiwa kura lakini mfalme ndiye anayempitisha.
Lusekelo amewataka Watanzania wajifunze Libya na Iraq waliotupa " mbachao" kwa msala upitao na sasa wanajuta.
Chanzo: Channel ten.
Maendeleo hayana vyama!