Huyu atakuwa na tatizo lingine, mimi wanywa bapa ninaowajua huwa hawana akili hiziMimi yangu ya moyoni ni kama ifuatavyo
La kwanza hivi hata wanywa bapa nao kumbe wana uhuru wa kutoa maoni
La pili hivi bapa likipigwa marufuku huyu mzee si atakufa maana bapa mwilini mwake ni kama petrol kwenye gari
Na la mwisho lakini si kwa umuhimu usitufananishe na Libya na iraq kukipigia kura chama kingine na kuinyea ccm yenu si usaliti bali watu wanatekeleza haki yao ya msingi ya kumchagua kiongozi wanayemtaka bila kushinikizwa na mtu yoyote.Kwanini utake kuwafanya watz wapumbavu kwa kuwaaminisha wasipomchagua jiwe basi ni wasaliti.Mzee wa bapa aache upumbavu wako.
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app