Mchungaji Lusekelo: Libya na Iraq zinajuta kuwasaliti viongozi wao Gaddafi na Sadam Hussein, watanzania msifanye makosa mtajuta!

Mimi yangu ya moyoni ni kama ifuatavyo
La kwanza hivi hata wanywa bapa nao kumbe wana uhuru wa kutoa maoni
La pili hivi bapa likipigwa marufuku huyu mzee si atakufa maana bapa mwilini mwake ni kama petrol kwenye gari
Na la mwisho lakini si kwa umuhimu usitufananishe na Libya na iraq kukipigia kura chama kingine na kuinyea ccm yenu si usaliti bali watu wanatekeleza haki yao ya msingi ya kumchagua kiongozi wanayemtaka bila kushinikizwa na mtu yoyote.Kwanini utake kuwafanya watz wapumbavu kwa kuwaaminisha wasipomchagua jiwe basi ni wasaliti.Mzee wa bapa aache upumbavu wako.
Huyu atakuwa na tatizo lingine, mimi wanywa bapa ninaowajua huwa hawana akili hizi

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Hawakutumia kupiga kurae, wangetumia wasingejuta, kama Kenya, Zambia n.k.
 
Mchungaji Anthony Lusekelo amewataka watanzania kutoiga iga mambo kwani demokrasia ina maana pana.

Mzee wa Upako amesema hata Marekani demokrasia wanayoihubiri hawaiishi kwa mfano Hilarry Clinton ndiye aliyeshinda kwa wingi wa kura lakini aliyeteuliwa kuwa Rais ni Donald Trump.

Kadhalika Uingereza Waziri mkuu anapigiwa kura lakini mfalme ndiye anayempitisha.

Lusekelo amewataka watanzania wajifunze Libya na Iraq waliotupa " mbachao" kwa msala upitao na sasa wanajuta.

Source Channel ten.

Maendeleo hayana vyama!
Atuondolee ulevi wake hapa Mzee wa jibapa
 
Muulize huyo mtu wako

Anajua mfumo wa kura za Marekani ukoje???

Muulize pia ni Uingereza gani Waziri mkuu anapitishwa na Mfalme????

Mwisho muulize tutajuta nini??? Kwa hiyo yeye anamfananisha Magufuli na Saddam Hussein??? Anazijua sifa za Saddam Hussein??? Je anamfananisha Magufuli na Gaddafi??? Anazijua sifa za Gaddafi??? Ametumia vigezo gani kumfananisha Magufuli na hawa??? Au amekaririshwa tu??[emoji23][emoji23]
Mkuu ukimchunguza vizuri Lusekelo utagundua uwezo wake wa uelewa uko chini sana sana.
Yeye ni bingwa wa kukuriri mistari ya biblia kama MTU anayekariri vitabu vya Alfu lela ulela na hadithi za Essopo.
Hana tofauti na huyo anaye mpigia debe ambaye kwa sasa limekuwa debe tupu
 
Mchungaji Anthony Lusekelo amewataka watanzania kutoiga iga mambo kwani demokrasia ina maana pana.

Mzee wa Upako amesema hata Marekani demokrasia wanayoihubiri hawaiishi kwa mfano Hilarry Clinton ndiye aliyeshinda kwa wingi wa kura lakini aliyeteuliwa kuwa Rais ni Donald Trump.

Kadhalika Uingereza Waziri mkuu anapigiwa kura lakini mfalme ndiye anayempitisha.

Lusekelo amewataka watanzania wajifunze Libya na Iraq waliotupa " mbachao" kwa msala upitao na sasa wanajuta.

Source Channel ten.

Maendeleo hayana vyama!
Sidhani km kichwan kwako kuna uelewa maana hoja zako ni za kitoto sn
 
Mchungaji Anthony Lusekelo amewataka watanzania kutoiga iga mambo kwani demokrasia ina maana pana.

Mzee wa Upako amesema hata Marekani demokrasia wanayoihubiri hawaiishi kwa mfano Hilarry Clinton ndiye aliyeshinda kwa wingi wa kura lakini aliyeteuliwa kuwa Rais ni Donald Trump.

Kadhalika Uingereza Waziri mkuu anapigiwa kura lakini mfalme ndiye anayempitisha.

Lusekelo amewataka watanzania wajifunze Libya na Iraq waliotupa " mbachao" kwa msala upitao na sasa wanajuta.

Source Channel ten.

Maendeleo hayana vyama!
Tatizo umeshapima damu ya mshipa mkubwa? Isije ikawa watanzania wanamsikiliza mgonjwa wa akili kwani wadudu wengine wa mshipa mkubwa wa damu wanashambulia ubongo.
 
Mchungaji Anthony Lusekelo amewataka watanzania kutoiga iga mambo kwani demokrasia ina maana pana.

Mzee wa Upako amesema hata Marekani demokrasia wanayoihubiri hawaiishi kwa mfano Hilarry Clinton ndiye aliyeshinda kwa wingi wa kura lakini aliyeteuliwa kuwa Rais ni Donald Trump.

Kadhalika Uingereza Waziri mkuu anapigiwa kura lakini mfalme ndiye anayempitisha.

Lusekelo amewataka watanzania wajifunze Libya na Iraq waliotupa " mbachao" kwa msala upitao na sasa wanajuta.

Source Channel ten.

Maendeleo hayana vyama!
Kwakuwa hana akili, hajui kuwa anamtukana Rais wetu kuwa anafanana na madikteta na wauaji kina Gaddafi na Saddam Hussein!
 
Mkuu ukimchunguza vizuri Lusekelo utagundua uwezo wake wa uelewa uko chini sana sana.
Yeye ni bingwa wa kukuriri mistari ya biblia kama MTU anayekariri vitabu vya Alfu lela ulela na hadithi za Essopo.
Hana tofauti na huyo anaye mpigia debe ambaye kwa sasa limekuwa debe tupu
Angejikita tu katika kuacha pombe, uchungaji na siasa haviwezi
 
Mchungaji Anthony Lusekelo amewataka watanzania kutoiga iga mambo kwani demokrasia ina maana pana.

Mzee wa Upako amesema hata Marekani demokrasia wanayoihubiri hawaiishi kwa mfano Hilarry Clinton ndiye aliyeshinda kwa wingi wa kura lakini aliyeteuliwa kuwa Rais ni Donald Trump.

Kadhalika Uingereza Waziri mkuu anapigiwa kura lakini mfalme ndiye anayempitisha.

Lusekelo amewataka watanzania wajifunze Libya na Iraq waliotupa " mbachao" kwa msala upitao na sasa wanajuta.

Source Channel ten.

Maendeleo hayana vyama!
Huyu malaya wa dini anamhubiria nani? Mpuuzi mkubwa sana huyu! anadhani dunia ya saddam ndiyo dunia ya Jiwe! Baradhuli kabisa
 
Ngoja nipite kimya tu, ila kuna watu duniani huitaji kusaidiwa kufikiri...

Mchungaji kazi yake ni kuomba Mungu awape watu kiongozi atayewasaidia watu wake na sio kuanza kupigia debe mtu...
 
Huyu jamaa mgonjwa kwa kweli, ila angejuwa tungefuata mfumo wa USA tungekuwa na amani maana mikoa ambayo midogo na imesahuliwa kama Pemba au Kigoma wangekuwa na sauti kubwa katika maamuzi mfumo wa USA ulizipa state ndogo sauti kubwa katika kuamua. Kuhusu UK huyu jamaa asituone watu wajinga sana hii ni 2020. Halafu angekuwa muwazi nani Saddam na Gaddaf wetu TZ? kuna kitu ajifunze Gaddafi pamoja na yote lakini ubaguzi baadhi ya tabaka na kunyima uhuru akaondolewa na Saddam na mazuri yake lakini chama chake kilikuwa kama wauwaji, alshawahi kuwatoa viongozi wachama waasi ndani ya mkutano na wakapotezwa sasa fanya yote lakini ukiwanyima watu uhuru na haki yote yanakuwa sio muhimu.
 
nikiri wazi Tanzania inahitaji uongozi wa aina ya Dr Magufuli kuliko wakati mwingine
mimi tu kuona miaka 5 mataifa ya nje hayajaona akienda kutembeza bakuli nafurahi sana.
acheni cheap politics ooh sijui nini.Tanzania imeomba msaada kibabe. wazee wanakaa chini wanaandika barua tunahitaj msaada huu kwa sababu hii unataka utatoa hutaki unaondoka ila hajaenda mtu kutembeza bakuli.
sina chama ila simuon lisu kuwa na uthubutu wa kuwavimbia hawa watu weupe thubutu aslan.
naumia sana kuona tunashabikia mawakala.
sisi hatujasoma kuwashinda Urusi.wala China ila wao walivoona wana Ma Rais jembe hawakutaka kulaza damu.
Twenden na Huyu Rais.ule ujasiri tu ingetosha bila kutangaza sera wala nini.
hivi vingine havikosi kwa kiongoz yoyote huwez ukaka ukaleta usnitich usishugulikiwe.ipo kila nchi.
 
Mchungaji Anthony Lusekelo amewataka watanzania kutoiga iga mambo kwani demokrasia ina maana pana.

Mzee wa Upako amesema hata Marekani demokrasia wanayoihubiri hawaiishi kwa mfano Hilarry Clinton ndiye aliyeshinda kwa wingi wa kura lakini aliyeteuliwa kuwa Rais ni Donald Trump.

Kadhalika Uingereza Waziri mkuu anapigiwa kura lakini mfalme ndiye anayempitisha.

Lusekelo amewataka watanzania wajifunze Libya na Iraq waliotupa " mbachao" kwa msala upitao na sasa wanajuta.

Source Channel ten.

Maendeleo hayana vyama!
Lusekelo, mmoja kati ya viongozi wa dini wenye kuchumia tumbo hapa nchini, ni mwenye kujipendekeza kwa raisi na watawala, Viongozi wa dini wa aina hii hawatakiwi kabisa, kama anataka aende akaombe kazi pale ofisi za ccm tuelewe, tunataka viongozi wa dini makini wenye uwezo wa kuwakaripia na kuwafokea viongozi wa serikali wanaotumia vibaya madaraka yao kwa kuenda kinyume na Katiba kama dikteta magufuri
 
Mchungaji Anthony Lusekelo amewataka watanzania kutoiga iga mambo kwani demokrasia ina maana pana.

Mzee wa Upako amesema hata Marekani demokrasia wanayoihubiri hawaiishi kwa mfano Hilarry Clinton ndiye aliyeshinda kwa wingi wa kura lakini aliyeteuliwa kuwa Rais ni Donald Trump.

Kadhalika Uingereza Waziri mkuu anapigiwa kura lakini mfalme ndiye anayempitisha.

Lusekelo amewataka watanzania wajifunze Libya na Iraq waliotupa " mbachao" kwa msala upitao na sasa wanajuta.

Source Channel ten.

Maendeleo hayana vyama!
Sadam na Gaddafi walikua ni Madikteta wakubwa
Hatutaki kutawaliwa kidikteta
 
Nyie ndio wali wapumbavu mnaodanganywa kuwa kila mamlaka imetokea mbinguni . Hamjui kuwa wengi wameingia kwenye mamlaka kwa nguvu za kichawi na wengine kwa kuiba kura?
Hatumtaki Magufuli, atoke. Magufuli ni balaa na laana kwa ustawi wa taifa
 
Mchungaji Anthony Lusekelo amewataka watanzania kutoiga iga mambo kwani demokrasia ina maana pana.

Mzee wa Upako amesema hata Marekani demokrasia wanayoihubiri hawaiishi kwa mfano Hilarry Clinton ndiye aliyeshinda kwa wingi wa kura lakini aliyeteuliwa kuwa Rais ni Donald Trump.

Kadhalika Uingereza Waziri mkuu anapigiwa kura lakini mfalme ndiye anayempitisha.

Lusekelo amewataka watanzania wajifunze Libya na Iraq waliotupa " mbachao" kwa msala upitao na sasa wanajuta.

Source Channel ten.

Maendeleo hayana vyama!
Waumini wa aina hii ya wanaojiita wachungaji wanatakiwa kuchunguzwa akili zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanajisi wa Biblia, kwa hili Waislam wametushinda sana Wakristo. Hawana upuzi wa hizi religious rooting companies (Ministries ).

Mijitu inajipendekeza tu
Mkuu yule shehk mkuu wa dar kwamba hujawahi kusikia kauli zake.

Dini zote kwa sasa
 
Back
Top Bottom