PostGE2025 Mchungaji Mashimo ahoji, Jaji Warioba amepata wapi takwimu za waliofariki?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Thread 'Mchungaji Mashimo ahukumiwa kwenda jela miaka 2 na miezi 6' Mchungaji Mashimo ahukumiwa kwenda jela miaka 2 na miezi 6
Kumbe ni mwizi, jambazi na tapeli kitambo. Ndio maana kapewa asali kidogo tu anakuja kutema pumba.

Wale mashehe wa mchongo zamu yao ni lini? labda ni kesho kumtukana Mzee Warioba.

Naona Samia ana-rotate kati ya wachungaji wahuni, mashehe wahuni na machawa kutetea uovu na kushambulia wazalendo.
 
CCM inamtumia huyu mpaka huyu kichaa?
 
Huyu si alikuwa amefungwa kwa utapeli?Huyu sio mchungaji wala nabii ni tapeli tu,hata kama hakuna takwimu lasmi Watanganyika wengi waliuwawa,na ndio Maana Serikali ya CCM haitaki kutoa takwimu.
 
Uganda walikufa askari kati ya 500 na 1000.

Warioba kaongelea kuhusu namba zinazoongelewa waliokufa 25/10 ambazo ni zaidi ya vijana elfu 10.

Hata kwa kuangalia misiba tu kwa vyovyote ni zaidi ya vijana elfu 10 wameuawa.
Na raia waliouwawa na majeshi ya Idd Amin eneo la Missenyi, Kagera wanakadiriwa kuwa 2,500 hivi. Wakati ule ilitisha sana. Askari wa Idd Amin walifanya unyama mkubwa sana eneo lile kabla ya kutimuliwa na wapiganaji wa JWTZ wakishirikiana na FFU (walioanzisha mapambano).
 
Takwimu anataka zile zitakazotolewa na walioshiriki kuficha maiti na kulazimisha majeruhi wapelekwe mortuary? Wale ambao mpaka leo wanazuia majeruhi walioko mahabusu wasitibiwe ndiyo anataka watoe takwimu?
Unofficial data zipo kwani kila aliyepotelewa na ndugu yake anazungumza, it's possible to compile and add the numbers(mnakuwa na rough approximation ili serikali ikidanganya mnakuwa na namna ya kubishana nayo)
Serikali ndiyo wauaji then tusubiri wao ndiyo watupe idadi ya waliowaua? How stupid is this ass-hole?
 
Mamlaka zenyewe za akina gaizzz gaizzz gaizzz gaizzz gaizzz 😄😄
 
Umewasha vpn ili uje jf. Huiheshimu serikali yako iliyoifungia jf
VPN yann sasa gentleman Tanzania?
kwan kuingia JF lazima utumie VPN?

kweli ukizoea vya kunyonga, vya kuchinja huwezi
 
Mashimo aache ujinga kama yeye hajui kuna watu wanajua takwimu halisi na Mzee Warioba kwa nafasi alizowahi kushika hapa chini siyo ajabu yeye kuwa na takwimu halisi.
 
Huyo ni polisi na kapachikwa hapo kwa kazi fiche, msimzingatie. Zuieni waumini wasiende kwenye kabisa lake afe njaa.
 
vpn yann sasa gentleman Tanzania?
kwan kuingia jf lazima utumie vpn?

kweli ukizoea vya kunyonga, vya kuchinja huwezi
 
Invention of Protestatism to kill the Catholic church ndio imeleta wahuni wanaoibuka ovyo na kujiita wachungaji.
 
Ni muujiza mkubwa, aibu na fedheha mtu wa hadhi ya Warioba anaanza kulinganisha takwimu kupitia vyanzo visivyo credible!
Nimeanza kuamini kwamba mtu huyu utu uzima unazidi kumtawala kiasi kwamba hata sasa hajui athari ya stori zake ambazo zinazidisha chuki badala ya kuwa mtu huyu sasa apaswa kuwa msuluhishi. Aibu sana.zaidi babu anasahau kwamba kipo kinazuia kuropoka!
 
Hili pumbavu Nimewahi kuliona pale Mbezi Luis likigongea Bia
 
Kwani maiti za hizo picha hakuziona hadi aulize takwimu kazitoa wapi?
 
Kwa hiyo usuluhishi ni kuhalalisha mauaji? Matako yako
 

Hawa ndio wachungaji njaa sio wa kuwasikiliza!! Wanatafuta umaarufu kwa nguvu.
 
Uganda walikufa askari kati ya 500 na 1000.

Warioba kaongelea kuhusu namba zinazoongelewa waliokufa 25/10 ambazo ni zaidi ya vijana elfu 10.

Hata kwa kuangalia misiba tu kwa vyovyote ni zaidi ya vijana elfu 10 wameuawa.
Mbona hatuoni misiba mitaani!? Najua mnasema walizikwa kwenye kaburi la halaiki! Lakini wenyeji wa huko wamekataaa! Hawakuona movements zozote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…