PostGE2025 Mchungaji Mashimo ahoji, Jaji Warioba amepata wapi takwimu za waliofariki?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Zile video na picha ni takwimu tosha na kama kusingekuwa na curfew na uzimaji wa internet hizo video zilizopatikana zingekua zaidi.
 
sina vpn, sijawahi kutumia vpn, na situmii vpn na nipo Tanzania naingia na kutoka JF bila hizo porojo :NoGodNo:
 
Jamaa amekosa airtime pale Mbezi Mwisho sasa analeta upumbavu wake. Jinga kabisa!!
 
Mbona hatuoni misiba mitaani!? Najua mnasema walizikwa kwenye kaburi la halaiki! Lakini wenyeji wa huko wamekataaa! Hawakuona movements zozote
Acha propaganda zako wewe, umewaulliza wenyeji wa Kondo wakakuambia kuwa hawakuona malori ya police yakishusha maiti kule makaburini? Mimi mwenyewe niliona maaskari wakiwafukuza wananchi wasikalibie sehemu walikokuwa wanafukia maiti!!
 
All the recognized international media houses Kama CNN, BBC. Al Jazeera and Amnesty International have the data of the massacre that Samia perpetrated on 29 October!
Sisi wenyewe raia tuna takwimu za mauji. Tulikuwa tunahesabu zile maiti tulizoziona. Hizo walizozifukia kwenye mashimo ya pamoja tunazisubiri ili tujumlishe na hizi tulizonazo
 
sina vpn, sijawahi kutumia vpn, na situmii vpn na nipo Tanzania naingia na kutoka JF bila hizo porojo :NoGodNo:
Endelea kuleta propaganda na kufurahia jukwaa mnalolitesa na kulifungia kinyume cha sheria huku ukiwasha vpn kwa raha zako. Haya turudi kwenye mada kuu sasa mzee warioba kasema hata idd amin dada hakuuwa watz wengi namna hii, mlaaniwe nyinyi na vilembwe vyenu vyote, mafashisti na hayawani wakubwa nyie
 
hakuna haja ya propaganda kwenye ukweli wa mambo,

wala huna haja kubabaika na kung'ang'ana kuhalalisha porojo kua ukweli kwasababu ni kitu useless kabisa.
JF ni free platform na mTanzania yeyote ana haki na uhuru wa kuingia na kutoka bila hiyo nonsense sijui vpn n.k :NoGodNo:
 
Acha propaganda zako wewe, umewaulliza wenyeji wa Kondo wakakuambia kuwa hawakuona malori ya police yakishusha maiti kule makaburini? Mimi mwenyewe niliona maaskari wakiwafukuza wananchi wasikalibie sehemu walikokuwa wanafukia maiti!!
Unaongea na mkazi wa huko sikuona chochote! Kwa hiyo Mimi na wewe tulienda leo inaonesha ni wapi? Mmeshapigwa changa la macho mnabaki kuguess
 
Wakuu baada ya Jaji Warioba kueleza kuwa watu waliofariki Oktoba wakati wa maandamano ni wengi kuliko waliofariki kwenye vita ya Kagera Mchungaji Mashimo ameibuka na kohoji ni wapi Jaji Warioba alipozipata takwimu hizo?

"Watu waliokufa mpaka sasa Tanzania hakuna mwenye takwimu kamili tunasubiri mamlaka ambazo tayari zimepewa jukumu la kuchunguza ili kubaini.

Hata mzee wangu Warioba sijui sensa amefanyia wapi? Lakini siwezi kuunga mkono maneno yake aliyoyasema mara ya mwisho" - Mch. Mashimo
Hizo takwimu amezisema wapi Jaji Warioba? huyo mchungaji asome alama za nyakiti ,kila kitu kina mwisho
 
Unaongea na mkazi wa huko sikuona chochote! Kwa hiyo Mimi na wewe tulienda leo inaonesha ni wapi? Mmeshapigwa changa la macho mnabaki kuguess

You are ignorant, Satellite pictures zinaonesha kabisa wapi maiti zilifukiwa na coordinates za hayo makaburi zipo!! Jilisheni matango pori mtakujaumbuka!!
 
Wakuu baada ya Jaji Warioba kueleza kuwa watu waliofariki Oktoba wakati wa maandamano ni wengi kuliko waliofariki kwenye vita ya Kagera Mchungaji Mashimo ameibuka na kohoji ni wapi Jaji Warioba alipozipata takwimu hizo?

"Watu waliokufa mpaka sasa Tanzania hakuna mwenye takwimu kamili tunasubiri mamlaka ambazo tayari zimepewa jukumu la kuchunguza ili kubaini.

Hata mzee wangu Warioba sijui sensa amefanyia wapi? Lakini siwezi kuunga mkono maneno yake aliyoyasema mara ya mwisho" - Mch. Mashimo
Serikali inachukua miezi hadi miwili kutokutoa idadi ya waliokufa na majeruhi ina maana gani? Labda haina hiyo idadi, au tu kua wanaficha idadi kwa sababu ni kubwa au wanaogopa kitu. Likely, ni kua idadi wanayo, lakini hawana control ya hiyo information na humo ndani hawaaminiani.

Hapo ndipo hiyo gap hujazwa na conspracy theories au na habari zisizo rasmi. Sasa kama wanahabari hawatoi habari, walaji wapate wapi hiyo huduma.

Thank you Esq Warioba
 
Siku hizi jina mchungaji, nabii na tapeli yako sawa.
Huyo Daudi Mashimo alikuwa mgambo wa city wakisumbua na kudhulumu wafanyabiashara wadogo (machinga) enzi za Kikwete.
Amezoea udhalimu, uonevu, ukandamizaji haki na utapeli. Lazima ajipendekeze kwa wahuni wenzie.
Njaa tu hizo zinamsumbua. Tunaomjua toka anasali kanisa la TAG Kimara Baruti/Ubungo Msewe hatushangai yeye kutetea mauwaji.
 
You are ignorant, Satellite pictures zinaonesha kabisa wapi maiti zilifukiwa na coordinates za hayo makaburi zipo!! Jilisheni matango pori mtakujaumbuka!!
Qma kama nyie ndo mnaojifanya mmna akili kumbe m.vi matupu hapo kichwani. Hizo satellite zimekuonesha wakichimba? Zinaonesha wakifukia? Au umeona picha mjongeo yoyote kutoka kwenye satellite? Yale makaburi yapo pale na wala hapana ulinzi wowote pale unaweza kwenda kuhakikisha mwenyewe.

Hao CCN wanajulikana ni fake news na propaganda machine ya West elites. Wameharibu nchi nyingi duniani Kwa uzushi wao.
 
Wakuu baada ya Jaji Warioba kueleza kuwa watu waliofariki Oktoba wakati wa maandamano ni wengi kuliko waliofariki kwenye vita ya Kagera Mchungaji Mashimo ameibuka na kohoji ni wapi Jaji Warioba alipozipata takwimu hizo?

"Watu waliokufa mpaka sasa Tanzania hakuna mwenye takwimu kamili tunasubiri mamlaka ambazo tayari zimepewa jukumu la kuchunguza ili kubaini.

Hata mzee wangu Warioba sijui sensa amefanyia wapi? Lakini siwezi kuunga mkono maneno yake aliyoyasema mara ya mwisho" - Mch. Mashimo
Vio sadaka ngumu nini
 
Back
Top Bottom