Mchungaji Mashimo ahukumiwa kwenda jela miaka 2 na miezi 6

Alikuwa anaamka saa 11 alfajiri wakati mabasi yanapakia abiria wa mikoani, yeye ilikuwa ndiyo wakati wake na sehemu yake ya kuhubiri
Na pale ndipo alipotoka kujulikana
 

13 Julai 2025

MAHAKAMA KUU YAFUTA UAMUZI WA MAHAKAMA YA WILAYA, MCHUNGAJI MASHIMO ASHINDA RUFANI YAKE

MCHUNGAJI MASHIMO AONGELEA SAKATA ZIMA LILOLOPELEKEA KUTUPWA GEREZANI...

View: https://m.youtube.com/watch?v=zFdHYs9yxSI
Mchungaji Daud Nkuba, maarufu Komando Mashimo, alihukumiwa kifungo cha miaka miwili jela baada ya kupatikana na hatia katika ...hata hivyo mchungaji Mashimo alikataa rufaa Mahakama Kuu, ambapo mahakama hiyo ya juu nchini Tanzania ilitengua hukumu hiyo ya mahakama ya wilaya ya Kinondoni ya jijini Dar es Salaam ....

SOMA HUKUMU YA MAHAKAMA KUU: Judgement



Daudi Mashimo Nkuba vs Republic (Criminal Appeal No. 7299 of 2025) [2025] TZHC 3515 (13 June 2025). Land disputes must...

..
With the demonstrated findings above, it is clear that the trial court did not have jurisdiction to entertain the charge levelled against the accused / appellant. Having so found that the trial court had no jurisdiction
and for the orders that will follow course, I see no reason to dwell on the remaining grounds of appeal. As a matter of law, a decision by a court without jurisdiction is a nullity, and so are the consequential orders
resulting therefrom. In consequential thereto, this appeal is allowed. The
proceedings of the trial court, resultant judgment and the consequential orders thereto are hereby nullified. The subsequent conviction and
sentence of the trial court are hereby set aside. The appellant is to be immediately released from prison unless he is otherwise held for other lawful reasons.

JUDGE
S.M Maghimbi.
Signed
13 June 2025
 
Vizuri
 

Jaji S.M Magimbi wa Mahakama Kuu ya Tanzania anasema ktk hukumu yake kuwa Mahakama ya Wilaya haikuwa na mamlaka ya kusikiliza kesi hiyo, hivyo anaamuru mfungwa Daudi Mashimo Nkuba almaarufu Mchungaji Mashimo aachiwe maramoja.

N.B
Mahakama za chini zinasikiliza Kesi za madai zisizozidi million 200 na zisizo pungua million 30 ukikosea hapa mahakama itatupilia mbali.

Yaani Madai ya kurejesha mali isiyohamishika (yenye thamani isiyozidi TZS milioni 300)...

Mahakama Kuu, Dar es Salaam, imetengua hukumu iliyoamuru kampuni ya simu za mkononi MIC (T) Limited, maarufu Tigo, kuwalipa wanamuziki wa kizazi kipya Hamisi Mwinyijuma (Mwana-FA) na Ambwene Yesaya (AY) Sh2.1 bilioni kwa kukiuka sheria za hatimiliki.

Jaji Joacquine De-Mello amebatilisha uamuzi huo baada ya kukubaliana na rufaa ya Tigo kuwa Mahakama ya Wilaya ya Ilala haikuwa na mamlaka ya kisheria kusikiliza kesi hiyo...ya mabilioni..
 
Atakuwa hana kadi ya ccm angekuwa na kadi ya ccm angeachiwa huru lol
 
Wanasheria wana kiingereza kimenyooka wakiandika ila kwenye kuongea bado ni majanga kama ilivyo kwa watanzania wengine wengi.
 
Katika wanawake warembo na wazuri duniani, madam judgeJ. Dr Mello, yeye ni mmoja wapo
 
NABII amehukumiwa kifungo cha gerezani na HAKIMU wa KINONDONI.
 
Wanasheria wana kiingereza kimenyooka wakiandika ila kwenye kuongea bado ni majanga kama ilivyo kwa watanzania wengine wengi.

Ni kweli , ila kesi hii kusikilizwa na mahakama isiyokuwa na mamlaka inazuwa maswali mengi, hakimu na mawakili wa serikali kwanini walijitwisha kesi hii iwe mahakama ya wilaya, je ni kukosa weledi, kukomoana au ni michongo ya pesa?
TOKA MAKTABA :
01 May 2025
MCHUNGAJI MASHIMO AKINUKISHA OFISINI - BAADA ya KUHUKUMIWA KIFUNGO JELA -AMWITA TAPELI ALIYEMSHITAKI

View: https://m.youtube.com/watch?v=2TiVHOjKR_Y
SASA BAADA YA KUTOKA GEREZANI, ACHUKUA FOMU


View: https://m.youtube.com/watch?v=02MsCb7L-2k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…