Mchungaji Mashimo ahukumiwa kwenda jela miaka 2 na miezi 6

Mchungaji Mashimo ahukumiwa kwenda jela miaka 2 na miezi 6

Nabii Geo devi wa Arusha swahiba wake atamtoa..na juzi alimpa mkwanja...
Angehukumiwa Kifungo au Fine ya fedha hapo ndipo Geo Devi angemtoa ,huyu amehukumiwa kifungo cha miezi 18(atatumikia miezi 12) ,labda wakate rufaa kisha Nabii amwage mpunga ili ashinde rufaa.
 
Ni mpango wa Mungu kumpeleka huko ili akaeneze injili kwa wafungwa
Wee jamaa unachekesha sana. Unamaanisha Kuvamia eneo lisilo lake na kubomoa nyumba isiyo yake ilikuwa ni mpango ili aende jela akaeneze injili? Kwani wachungaji hawawezi kuhubiria injili wafungwa bila wao wenyewe kuwa sehemu ya wafungwa?
 
Mchungaji Mashimo huwa ananifurahisha sana kwa jinsi anavyoongea na kusisitiza anachokiamini....

Binafsi nimepata huruma kubwa juu yake....

All and all atayashinda na yatapita kwani ndio dunia....

#Do Not Do Harm!
Kwa hiyo ingekuwa ni nyumba yako imebomolewa na huyo mashimo ungeendelea kumuonea huruma?
 
Wakristo ni magaidi sana
Hao sii wakristu. Walishakana ukristu ( Ukatoliki) wakajianzishia mautaratibu Yao tofauti na ukatoliki na wakajiita " Protestants ' hivyo kanisa na mamlaka ya papa ( papacy) haziwatambui na Kila wanachokifanya sio malatazo ya kanisa. Hao kwa kiarabu tunaweza kuwaita "MURTAD"
 
Huyu jamaa akili zake haziko sawa au huwa anajitoa ufahamu ili apate kula. Kipindi cha Magufuli alikuwa amejiunga na kikosi cha uhuni cha Sabaya.
Sio kikosi Cha uhuni hio ndio kazi yake rasmi huyo bwana,hata huko aendako uskute ametumwa tu
 
Alishashindwa kesi zaidi ya 12.
Ni Nani aliyeweza kumfunga Mashimo ?
Hakuna wa kumfunga Tiss Mashimo.
Hayupo.
Hata akienda jela,Mimi naamini watakua wamemtuma t uko Kwa kazi maalum,mashimo sio raia.
 
Wee jamaa unachekesha sana. Unamaanisha Kuvamia eneo lisilo lake na kubomoa nyumba isiyo yake ilikuwa ni mpango ili aende jela akaeneze injili? Kwani wachungaji hawawezi kuhubiria injili wafungwa bila wao wenyewe kuwa sehemu ya wafungwa?
Mkuu msamehe tu tuna jamii inafikiri kitoto sana.. sasa huyu nae utashangaa ni baba/mama wa familia!??😭😭😭
 
Pale Mbezi Louis stand ile ijumaa week iliyopita alikuwa pale akawa anaaga anaenda mahakamani kumbe walienda kumpiga mvua?
 
Gaidi hlo lifungwe kaharbu mali ya mwenzie kwa makusudi na kufanya vurugu wakristo ni magaidi sana
Hellow
Screenshot_2025-03-19-12-40-42-726_com.google.android.googlequicksearchbox-edit.jpg

ALi

Tamka “hellow Mdudu Ali”,unaionaje hii tag hapo juu ukiwa combined na ndugu yako?
 
Hao sii wakristu. Walishakana ukristu ( Ukatoliki) wakajianzishia mautaratibu Yao tofauti na ukatoliki na wakajiita " Protestants ' hivyo kanisa na mamlaka ya papa ( papacy) haziwatambui na Kila wanachokifanya sio malatazo ya kanisa. Hao kwa kiarabu tunaweza kuwaita "MURTAD"
Sawa sawa
 
Back
Top Bottom