Ungekua rais mpumbavu sanaNingekua raisi mpaka sasa hao wachungaji na manabii wote wangekua gerezani kwa kosa la utapeli kwa jina la kiroho.
Punguza kwanza jazba mkuu,halafu elezea tu kwa ufupi ulikua unasema nini.Ungekua rais mpumbavu sana
Yaani dini iseme kuoa wake wanne sio dhambi,wewe uoe tu bila tu kuwapima magonjwa ya kuambukiza useme serikai iingilie?
Dini imesema kunywa ila usilewe,kinywaji ambacho kina addiction,wewe na upumbavu wao unafakamia mapombe TU?
dini imesema toeni sadaka sio MICHANGO,wewe kwa Upumbavu wako unamchangia kiongozi wa dini akanunue Gari ila wewe ukitaka gari anakuombea,.
ninyi ni wapumbavu na Wala sio hizo dini
Siyo anaonja mkuu hiyo wanakula isivyo kawaida.Huwa anaonja huyo maalim😭
NdioAah nimekuuliza tu ndugu yangu maana umeonekana unaijua sana kiasi cha kuiita “nzuri sana” so unaonekana una experience nayo muda
Tamu sana hyo nimetoka kuila mchana huu pale saigon pub
Nakula vbaya mno sio kuonjaHuwa anaonja huyo maalim😭
Tamu sana hyo nimetoka kuila mchana huu pale saigon pub
😂😂😂😂 Mkuu unajua huna akili 😂😂😂Nakula vbaya mno sio kuonja
Wewe inaonekana swaumu imekupanda mpaka kichwani.Wakristo ni magaidi sana
Ukitaka kupandwa semaWewe inaonekana swaumu imekupanda mpaka kichwani.
Anza na baba yako, ukimaliza nenda kwa mama yako, halafu mwishoni kabisa mfuate mwalimu wako wa madrasa.Ukitaka kupandwa sema
Nitamalizia na yesuAnza na baba yako, ukimaliza nenda kwa mama yako, halafu mwishoni kabisa mfuate mwalimu wako wa madrasa.
Kwahiyo Geodavie ndio alimwambia akavamie mali ya watu na kuharibu??Mchungaji Mashimo ambaye naye miezi kama 7 iliyopita alipewa Tsh 1,000,000 na "Nabii" Geordavi, naye Jumanne juzi kafungwa miaka 2 jela.
Alikuwa akionekana akifanya nini hapo mbezi stendi?Ndo maana haonekai mbezi stand.