MduduAli
JF-Expert Member
- Jun 21, 2024
- 683
- 1,129
Gaidiii kazi dhulma tu ili mzee wa watu afe njaa? Naipongeza mahakama haki itendekePole sana
Gaidiii kazi dhulma tu ili mzee wa watu afe njaa? Naipongeza mahakama haki itendekePole sana
Gaidii haki lazma itendeke hii ni tzWewe hacha ujinga.........kobaz la mudi ni balaaa
Sitahitaji kuthibitisha kiroho ambayo nayo haipo na haithibitiki zaidi ya drama tu.Unathibitishaje utapeli wa kiroho
Sasa wale alshababu,Islamic terrorist mnafataga nini nchi za watu ulayaWakristo ni magaidi na wakristo wote ni vichaa
Wakikuwahisha hospital utapona.Unahtaji dozi daktari wako nipo mbali?
Ila wakristo ni magaid sana ndo sadaka hapati kaamua kudhulumu duh jesuz awalaani
Mimi ningekuwa nilishawanyonga kama ka Rodrigo Diuterte!Ningekua raisi mpaka sasa hao wachungaji na manabii wote wangekua gerezani kwa kosa la utapeli kwa jina la kiroho.
Geresha
Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni chini ya Hakimu Rugemalila imemhukumu Daudi Mashimo kifungo cha miaka miwili na miezi sita jela baada ya kumkuta na hatia katika mashtaka mawili kati ya matatu yaliyokuwa yakimkabili.
Mashimo alikuwa akikabiliwa na mashitaka ya kuvamia na kuishi kwenye eneo la mlalamikaji, Flora Jonasi, kuharibu mali kwa makusudi, na kufanya vurugu dhidi ya Ramsoni. Mahakama ilimkuta na hatia katika mashtaka ya mawili, huku ikimuondolea shtaka la moja ambalo wamekuta hana hatia.
Baada ya kutolewa kwa hukumu hiyo, mtuhumiwa ameshauri ndugu,jamaa na marafiki kukata rufaa ikiwa hawajaridhika na uamuzi huo.
Nikukumbushe tu kuwa asilimia kubwa ni Wana vitengo nyetiNingekua raisi mpaka sasa hao wachungaji na manabii wote wangekua gerezani kwa kosa la utapeli kwa jina la kiroho.
Swadakta mjukuu wa Aisha (AkA. Mama aliebakwa tangia akiwa mdogo)Wakristo ni magaidi sana
Asipojua kutembeza mkono yatamgeuza kisusio!Acha akawafundishe watu neno la Mungu.
Kwani kafanyaje mkuu?Hao wachungaji na mitume ni mapandikizi ya ccm...ndiyo maana unashangaa kwanini wanafanya uanithi na serikali ya samia inawachekea ....kama huyu muhuni mwampooosa huenda tayari kapachikwa usalama wa taifa