MduduAli
JF-Expert Member
- Jun 21, 2024
- 683
- 1,129
Gaidi hlo
Lifungwe maisha
Lifungwe maisha
Ni kanuni mojawapo ya usalama wa taifa kupata watu nyeti kwa kuangalia umashuhuri wao na uwaingiza ndani yao ...usishangae mwamposa kusikia anamshabikia samia au kumsifu ......wanacho fanya ni kumwakikishia katika kazi yake ya dini kumpa ulinzi hata hakifanya ufisadi wanamkingia kifua kwa kuwa kakubali kutumia umashuhuri wake kuifagilia ccm na kufumbia macho maovu ya wanasiasa wa chama tawala....kwa sasa usije kudhubutu kumgusa zumaridi tayari ana mkataba mkononi na wahuni wa ccm na serikali yaoKumbe kuna namna wana wa manipulate watu kisiasa?
Atakosa sadaka za mbezi mwisho hasa abiria wa gari za mwendokasi.
Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni chini ya Hakimu Rugemalila imemhukumu Daudi Mashimo kifungo cha miaka miwili na miezi sita jela baada ya kumkuta na hatia katika mashtaka mawili kati ya matatu yaliyokuwa yakimkabili.
Mashimo alikuwa akikabiliwa na mashitaka ya kuvamia na kuishi kwenye eneo la mlalamikaji, Flora Jonasi, kuharibu mali kwa makusudi, na kufanya vurugu dhidi ya Ramsoni. Mahakama ilimkuta na hatia katika mashtaka ya mawili, huku ikimuondolea shtaka la moja ambalo wamekuta hana hatia.
Baada ya kutolewa kwa hukumu hiyo, mtuhumiwa ameshauri ndugu,jamaa na marafiki kukata rufaa ikiwa hawajaridhika na uamuzi huo.
Takbiiiir! Allah Akbar.Wakristo ni magaidi sana
Nasikia wafungwa pia ni watoaji wa sadaka wazuri tuu.Atakosa sadaka za mbezi mwisho hasa abiria wa gari za mwendokasi.
Magaid sanaTakbiiiir! Allah Akbar.
Okay. Anachohubiri sio anachotenda. Inafikirisha sana.Nasikia wafungwa pia ni watoaji wa sadaka wazuri tuu.
ni dini ya kitapeli kabisa!Wakristo ni magaidi sana
Una UTI na AMOEBA akilini mwako tangu dunia iumbwe ni lini ulisikia mkristo gaidiGaidi hlo lifungwe kaharbu mali ya mwenzie kwa makusudi na kufanya vurugu wakristo ni magaidi sana
Ni magaidini dini ya kitapeli kabisa!
Ana UTI akilini mwake ni wa kumhurumia tu
Kuharibu vitu vya kikongwe na kudhulumu haki yake ni nini? Kama sio ugaidiUna UTI na AMOEBA akilini mwako tangu dunia iumbwe ni lini ulisikia mkristo gaidi
Unathibitishaje utapeli wa kirohoNingekua raisi mpaka sasa hao wachungaji na manabii wote wangekua gerezani kwa kosa la utapeli kwa jina la kiroho.
Gaidi afungwe na haki itendeke hii ni TanzaniaAna UTI akilini mwake ni wa kumhurumia tu
Pole sanaKuharibu vitu vya kikongwe na kudhulumu haki yake ni nini? Kama sio ugaidi
Wakristo ni magaidi
Wewe hacha ujinga.........kobaz la mudi ni balaaaWakristo ni magaidi sana
Gaidi apewe haki yakeNyumba alokua anakaa ni jirani kidogo na kwangu na kuna jamaa yangu pia alikua anakaa,walipewa notisi wapangaji wote..basi itakua yeye aliona asiondoke hivihivi