Mchungaji Mastai awaombea wazazi wa watoto wote waliokufa pale Selander Bridge, ataka Serikali ichunguze zaidi

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mchungaji wa Kanisa la KKKT kimara mtumishi Matsai amewaombea wazazi wote ambao watoto wao waliuawa katika tukio baya kabisa la mauaji lililotokea pale Daraja la Salenda.

Aidha mchungaji Matsai ameitaka Serikali kufanya uchunguzi thabiti ili kubaini sehemu ambazo raia hupata mafunzo ya kijeshi.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
 
Mchungaji wa Kanisa la KKKT kimara mtumishi Matsai amewaombea wazazi wote ambao watoto wao waliuawa katika tukio baya kabisa la mauwaji lililotokea pale daraja la salenda

Aidha mchungaji Matsai ameitaka serikali kufanya uchunguzi thabiti ili kubaini sehemu ambazo raia hupata mafunzo ya kijeshi.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
wamekufa na nini? sijasikia nijuze
 
Hivi kuna watoto gani wameuawa au mi siko nchini
 
Mafunzo ya kijeshi hata madrasa na mskitini kwa askofu Rashid yanatolewa free of charge
 
Mchungaji wa Kanisa la KKKT kimara mtumishi Matsai amewaombea wazazi wote ambao watoto wao waliuawa katika tukio baya kabisa la mauwaji lililotokea pale daraja la salenda

Aidha mchungaji Matsai ameitaka serikali kufanya uchunguzi thabiti ili kubaini sehemu ambazo raia hupata mafunzo ya kijeshi.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Hata wazazi wa Hamza wanahitaji kuombewa na kufarijiwa
 
Mchungaji wa Kanisa la KKKT kimara mtumishi Matsai amewaombea wazazi wote ambao watoto wao waliuawa katika tukio baya kabisa la mauwaji lililotokea pale daraja la salenda

Aidha mchungaji Matsai ameitaka serikali kufanya uchunguzi thabiti ili kubaini sehemu ambazo raia hupata mafunzo ya kijeshi.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Anaitwa Mastai, siyo Matsai.

Mnafiki na mtafuta kiki tu huyu kila mtu anamjua. Kwa Aquiline na Lissu aliufyata.
 
Mchungaji wa Kanisa la KKKT kimara mtumishi Matsai amewaombea wazazi wote ambao watoto wao waliuawa katika tukio baya kabisa la mauwaji lililotokea pale daraja la salenda

Aidha mchungaji Matsai ameitaka serikali kufanya uchunguzi thabiti ili kubaini sehemu ambazo raia hupata mafunzo ya kijeshi.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Hakuna Mchungaji anaitwa Matsai, sijui unatonywa na nani.
Mimi namfahamu Mchungaji Willy Mastai wa Kimara.
 
Bwashee ulivyoripoti nikajua kuna tukio jingine kumbe ndio hilo la Hamza? Tukio la Hamza halijatokea salenda bali kwenye makutano ya Barabara ya Ali Hassan/Kinondoni/Oysterbay na Hamza aliuawawa karibu na Ubalozi wa Ufaransa.
 
Mchungaji wa Kanisa la KKKT kimara mtumishi Matsai amewaombea wazazi wote ambao watoto wao waliuawa katika tukio baya kabisa la mauwaji lililotokea pale Daraja la Salenda.

Aidha mchungaji Matsai ameitaka serikali kufanya uchunguzi thabiti ili kubaini sehemu ambazo raia hupata mafunzo ya kijeshi.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Amina
 
Back
Top Bottom