johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mchungaji wa Kanisa la KKKT Kimara, Dr Mastai amesema yeye alimuunga mkono hayati Magufuli kuanzia siku ya kwanza aliyoingia madarakani hadi Jumapili iliyopita alipomfanyia maombezi maalumu Kanisani.
Mchungaji Mastai amesema hata sasa anamuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan lakini akitugeuka na yeye atamgeuka.
Mchungaji Mastai amesema ana imani Rais Samia atatuvusha kwa sababu ana uwezo mkubwa na uzoefu wa uongozi.
Pia Mastai amerusha video inayomuonyesha mtabiri aliyetabiri kifo cha kiongozi wetu wiki iliyopita akitabiri kutatokea vita ya ukabila baada ya kifo cha Magufuli.
Hata hivyo Mastai anasema Tanzania haina ukabila na huenda anachosema mtabiri huyo ni vita vya kidini.
Mastai amewataka waislamu na wakristo kuliombea taifa letu.
Maendeleo hayana vyama!