Mchungaji Matsahi wa KKKT Kimara amesema yule Mfanyabiashara aliyetekwa na kukutwa ametupwa Bagamoyo akiwa amekufa ni muumini Mwaminifu Sana wa Kanisa lake na alikuwa hana shida yoyote
Matsahi amesema ni lazima Watanzania Kwa Umoja wetu tukemee hii Teka Teka vinginevyo tutakwisha
Wanasiasa wakiandaa maandamano ya kupinga mambo haya watu mnabaki majumbani mkiamini hamuhusiki ila yakitukuta ndio tunalia wote namna hii, amesema mchungaji huku akitolea mfano wa Tarimo wa Kiluvya aliyetaka kutekwa huku wananchi wakitoa mimacho bila kumsaidia
Matsahi amesema Kanisa lake halitakubali Hali hii iendelee mwaka huu na wanaomba Sana Mungu wa mbinguni aingilie Kati

Sababukatekwa muumini wake au ana dhamira ya dhati toka moyoni ? Sasa mkuu wake kanisaanamchekea mama....mama ameharibu hadi mfumo kanisakwa hizo 100m zake....kaniwa liseme sasa
Kwa utawala huu wa kidhalimu wa awamu ya sita kila familia itafikiwa. Tumlilie Mungu tupate Rais Mtanganyika,maana yule Mhutu wa Chato aliua na kuteka sana huyu naye ndiyo kama anataka kumzidi Mhutu. Tanganyika kwa Watanganyika.
Hapa ndipo utagundua yaliyoujaza moyo wa mwanadamu anapoguswa yeye au maslahi yake.Mbowe aliandamana na binti yake,akatukanwa kwelikweli!!.Ila utagundua Mbowe na mwanae wana moyo wa kujali kuliko waongeaji.
Mchungaji Matsahi wa KKKT Kimara amesema yule Mfanyabiashara aliyetekwa na kukutwa ametupwa Bagamoyo akiwa amekufa ni muumini Mwaminifu Sana wa Kanisa lake na alikuwa hana shida yoyote
Matsahi amesema ni lazima Watanzania Kwa Umoja wetu tukemee hii Teka Teka vinginevyo tutakwisha
Wanasiasa wakiandaa maandamano ya kupinga mambo haya watu mnabaki majumbani mkiamini hamuhusiki ila yakitukuta ndio tunalia wote namna hii, amesema mchungaji huku akitolea mfano wa Tarimo wa Kiluvya aliyetaka kutekwa huku wananchi wakitoa mimacho bila kumsaidia
Matsahi amesema Kanisa lake halitakubali Hali hii iendelee mwaka huu na wanaomba Sana Mungu wa mbinguni aingilie Kati
Alipokosea ni hapo alipofanya tena conclusion kwamba wanaomba Mungu wa mbinguni aingilie kati. Kama anadhani Mungu anaweza kuombwa na kuingilia kati ni kwa nini anawalaumu tena kwa kutojitokeza kwenye maandamano? Mungu ametupa akili, ni juu yetu kuzitumia na siyo kusubiri aingilie kati.
Hapa ndipo utagundua yaliyoujaza moyo wa mwanadamu anapoguswa yeye au maslahi yake.Mbowe aliandamana na binti yake,akatukanwa kwelikweli!!.Ila utagundua Mbowe na mwanae wana moyo wa kujali kuliko waongeaji.
Hapa ndipo utagundua yaliyoujaza moyo wa mwanadamu anapoguswa yeye au maslahi yake.Mbowe aliandamana na binti yake,akatukanwa kwelikweli!!.Ila utagundua Mbowe na mwanae wana moyo wa kujali kuliko waongeaji.
Yale ya Mbowe yalikuwa ni usanii. Mbowe wa sasa hivi hawezi kumpinga Samia. Yale ya akina Soka ndiyo yalikuwa maandamano ya ukweli na ndiyo sababu walitekwa. Wananchi wana akili.
Siyo viongozi wa dini tu ila mpaka ni watanzania wote. Mpaka li-mfike ndiyo anazungumza. Hata wanasiasa wengi kama kina Zitto. Walikuwa wanapiga kelele wakati wa Magufuli lakini sasa hivi wako kimya. Waandishi wa habari nao ni hivyo hivyo.