Mchungaji Matsahi alia msharika wake kutekwa na kuuawa. Adai Watanzania wakiambiwa Waandamane wanawaachia Wanasiasa ila Kutekwa hakuchagui mtu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mchungaji Matsahi wa KKKT Kimara amesema yule Mfanyabiashara aliyetekwa na kukutwa ametupwa Bagamoyo akiwa amekufa ni muumini Mwaminifu Sana wa Kanisa lake na alikuwa hana shida yoyote

Matsahi amesema ni lazima Watanzania Kwa Umoja wetu tukemee hii Teka Teka vinginevyo tutakwisha

Wanasiasa wakiandaa maandamano ya kupinga mambo haya watu mnabaki majumbani mkiamini hamuhusiki ila yakitukuta ndio tunalia wote namna hii, amesema mchungaji huku akitolea mfano wa Tarimo wa Kiluvya aliyetaka kutekwa huku wananchi wakitoa mimacho bila kumsaidia

Matsahi amesema Kanisa lake halitakubali Hali hii iendelee mwaka huu na wanaomba Sana Mungu wa mbinguni aingilie Kati

Source: KKKT Kimara TV

Nawatakia Dominica NJEMA 🌹
 
Sababukatekwa muumini wake au ana dhamira ya dhati toka moyoni ? Sasa mkuu wake kanisaanamchekea mama....mama ameharibu hadi mfumo kanisakwa hizo 100m zake....kaniwa liseme sasa
 
Kwa utawala huu wa kidhalimu wa awamu ya sita kila familia itafikiwa. Tumlilie Mungu tupate Rais Mtanganyika,maana yule Mhutu wa Chato aliua na kuteka sana huyu naye ndiyo kama anataka kumzidi Mhutu. Tanganyika kwa Watanganyika.
 
Hapa ndipo utagundua yaliyoujaza moyo wa mwanadamu anapoguswa yeye au maslahi yake.Mbowe aliandamana na binti yake,akatukanwa kwelikweli!!.Ila utagundua Mbowe na mwanae wana moyo wa kujali kuliko waongeaji.
 
Mchungaji Matsahi wa KKKT Kimara amesema yule Mfanyabiashara aliyetekwa na kukutwa ametupwa Bagamoyo akiwa amekufa ni muumini Mwaminifu Sana wa Kanisa lake na alikuwa hana shida yoyote

Matsahi amesema ni lazima Watanzania Kwa Umoja wetu tukemee hii Teka Teka vinginevyo tutakwisha

Wanasiasa wakiandaa maandamano ya kupinga mambo haya watu mnabaki majumbani mkiamini hamuhusiki ila yakitukuta ndio tunalia wote namna hii, amesema mchungaji huku akitolea mfano wa Tarimo wa Kiluvya aliyetaka kutekwa huku wananchi wakitoa mimacho bila kumsaidia

Matsahi amesema Kanisa lake halitakubali Hali hii iendelee mwaka huu na wanaomba Sana Mungu wa mbinguni aingilie Kati

Source: KKKT Kimara TV

Nawatakia Dominica NJEMA 🌹
Alipokosea ni hapo alipofanya tena conclusion kwamba wanaomba Mungu wa mbinguni aingilie kati. Kama anadhani Mungu anaweza kuombwa na kuingilia kati ni kwa nini anawalaumu tena kwa kutojitokeza kwenye maandamano? Mungu ametupa akili, ni juu yetu kuzitumia na siyo kusubiri aingilie kati.
 
Hapa ndipo utagundua yaliyoujaza moyo wa mwanadamu anapoguswa yeye au maslahi yake.Mbowe aliandamana na binti yake,akatukanwa kwelikweli!!.Ila utagundua Mbowe na mwanae wana moyo wa kujali kuliko waongeaji.
Haya
 
Yale ya Mbowe yalikuwa ni usanii. Mbowe wa sasa hivi hawezi kumpinga Samia. Yale ya akina Soka ndiyo yalikuwa maandamano ya ukweli na ndiyo sababu walitekwa. Wananchi wana akili.
 
Huyu Mchungaji ninamfuatilia sana ni mmoja wa wachungaji wenye uelewa mkubwa na asiye na chembe za unafiki au tamaa .
 
Yeye kajitokeza lini viongozi wa dini wamejaa unafiki akiletea mil100 azirudishe!
Siyo viongozi wa dini tu ila mpaka ni watanzania wote. Mpaka li-mfike ndiyo anazungumza. Hata wanasiasa wengi kama kina Zitto. Walikuwa wanapiga kelele wakati wa Magufuli lakini sasa hivi wako kimya. Waandishi wa habari nao ni hivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom