johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mchungaji Matsahi wa KKKT Kimara amesema yule Mfanyabiashara aliyetekwa na kukutwa ametupwa Bagamoyo akiwa amekufa ni muumini Mwaminifu Sana wa Kanisa lake na alikuwa hana shida yoyote
Matsahi amesema ni lazima Watanzania Kwa Umoja wetu tukemee hii Teka Teka vinginevyo tutakwisha
Wanasiasa wakiandaa maandamano ya kupinga mambo haya watu mnabaki majumbani mkiamini hamuhusiki ila yakitukuta ndio tunalia wote namna hii, amesema mchungaji huku akitolea mfano wa Tarimo wa Kiluvya aliyetaka kutekwa huku wananchi wakitoa mimacho bila kumsaidia
Matsahi amesema Kanisa lake halitakubali Hali hii iendelee mwaka huu na wanaomba Sana Mungu wa mbinguni aingilie Kati
Source: KKKT Kimara TV
Nawatakia Dominica NJEMA 🌹