LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
Ni lini ndoa yake ilikuwa na matatizo kiasi cha kufanya aikimbie? Jamii ndiyo inayohukumu ni nani ni mvurugaji wa ndoa. Alishindwa nini kuiambia jamii kuwa mume wake ni mkorofi anatishia amani ya ndoa. Huyu dada ni maarufu kwenye media angeweza kuita press aeleze yanayomsibu imeshindikana kusuluhishwa hivyo anatoka kwenye ndoa kwa usalama wake. Na kama vipi media zimhoji mume wake kuona nani ni mvunja ndoa ili jamii imuhukumu. Msimtete shusho hatakuwa mchungaji mzuri kuhubiri habari za ndoa kwa kuwa yeye aliikimbia. Majaribu hayakimbiwi