Mchungaji Mbarikiwa: Kilichokutuma Christina Shusho ni umalaya tu hakuna huduma hapo

Hata huyo naye mzushi tu, "Mchungaji Mbarikiwa",ndo nini?!,amebarikiwa na nani!?,Kuna ushahidi au ndo kujikweza tu!?,siku hizi yameibuka mambo ya ajabu sana. Mtu anajiita mchungaji Mbarikiwa na watu wanamuona kama Mtakatifu fulani hivi.
ndio jina lake
 
Hana lolote social media imemchanganya tu, akajiona mzuri. Mwanamke akiisha shika vijisenti usitegemee kutakuwa na ndoa.
Wenzentu huko huwa wana sign prenap, inasaidia sana.
 
Tujifunze kuheshimu maamuzi ya mtu ilimradi hajavunja sheria.

She is 100% responsible for her life.

Yeye ni mtu mzima huenda anaelewa anachokifanya.
 
Wacha aitafute Furaha yake ilipo aipate.

Dhamana ya Furaha yake iko ndani ya nafsi yake.
 
Hata huyo naye mzushi tu, "Mchungaji Mbarikiwa",ndo nini?!,amebarikiwa na nani!?,Kuna ushahidi au ndo kujikweza tu!?,siku hizi yameibuka mambo ya ajabu sana. Mtu anajiita mchungaji Mbarikiwa na watu wanamuona kama Mtakatifu fulani hivi.
Mkuu hilo ni jina lake halisi, punguza jazba🤣🤣🙌
 
Tatizo amejiona mzuri sana akimuangalia Mzee shusho Hana mvuto akasema beauty yake haiwezi kuishia kwa kizee kama kile ukizingatia kizee kiliacha kazi TRA
 
Ila ukweli mchungu muonekano wa yule mzee shusho hapana kwakwel ingawa mwanaume Hana ulazima wa Kuwa mzuri ila yule Mzee kazidi kamuharibia mbegu kabisa Christina wote wamefanana na baba yao Christina ana haki ya kumuacha tu
 
Dini Biashara kama biashara zingine kinachotakiwa ni kuwavuta watu Kwa hali na mali
 
Ila ukweli mchungu muonekano wa yule mzee shusho hapana kwakwel ingawa mwanaume Hana ulazima wa Kuwa mzuri ila yule Mzee kazidi kamuharibia mbegu kabisa Christina wote wamefanana na baba yao Christina ana haki ya kumuacha tu
Swali fikirishi ulipokuwa na miaka 19 uliweza kutambua kama huyu ni mwanaume handsome?
 
Ni vigumu sana kummiliki mwanamke aliyepata umaarufu jua likiwa limezama!
 
Mungu mbna unachezewa hv na walagai na matepeli mungu nakuomba ushushe moto ulao uwaangamize wote wanao kuchezea na kulichezea neno lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…